Gharama za uingizaji magari

m2me

Member
Jul 23, 2012
55
95
Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
 

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,329
1,250
1. Shipping line
2. Port charges
3. Agent fee
4. Registration
5 kama gari ikikaa zaidi ya siku saba utaanza kulipia storage
 

m2me

Member
Jul 23, 2012
55
95
1. Shipping line
2. Port charges
3. Agent fee
4. Registration
5 kama gari ikikaa zaidi ya siku saba utaanza kulipia storage

Ahsante sana mkuu kwa msaada huo. pia kawa unaweza kunipa na makadilio ya hizo charges itakuwa poa zaidi ili nisiingie mkenge na kushindwa kutoa gari bandarini baada ya kuwa nimeishaagiza. Ubarikiwe
 

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,771
2,000
Naomba kujuzwa gharama za kodi na usajili wa Toyota truck,model Toyoace diesel 4100 cc ya mwaka 1996 toka Japan.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom