Gharama za uendeshaji DSTV kulikoni


Mkuu problem ni jamaa kutumia USD badala ya TZS kwenye malipo na si unajua madafu yetu yanavyopoteza thamani dhidi ya USD?hapo ndo balaa linapoanzia.Maana within a week premium ilipanda kutoka TZS 127,000 hadi TZS 129,000.Sijui kuanzia september hii itakuwaje
 
Mjiungeni kwenye cable tvz...buku 10 tuu


HIyO CABLE NAIHITAJI KWELI, siku nikiipata kwa kweli nitafurahi sana. sijuwi zinapatikana wapi, nasikia zinapatika uswahilini zaidi, sijuwi kwa wale wasioishi uswahilini wanaweza kuzipataje.
 
Nami najiuliza sipati jibu wapi napata cable hapa dar es salaam??maan dstv wamejivalisha joho la ufalme hasa kwenye mipira ya UK.....nafikiriaa wana JF tufanye utafiti kuhusu tv ya agape tuone kama wana mipira mingapi ya uingereza na hiyo ya uefa ambayo najuaa kuwa wana cover karibia yoote
 
wakuu hawa watatuua hawana nia nzur kabisaaaaaaa tujuzen cable zinapatkana wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…