Gharama za uchapaji wa vitabu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za uchapaji wa vitabu!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Daniel Anderson, Aug 20, 2011.

 1. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf. Nahitaji kuchapa kitabu cha somo mojawapo la ADVANCED LEVEL ila sina mtaji hata kianzio.
  Napokea partnership kwa yeyote atakayekubali tuzalishe pamoja.
  Vitu ninavyohitaji ni kamera, uwezeshwaj wa mawasiliano, gharama ya typing and printing, na kusajili wizarani ili kupata ISBN. Yeyote aliyetayari tusaidiane kuendeleza elimu yetu tuwasiliane.
  Please text me through 0654 047387
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hongera sn kwa hilo wazi lako, naomba tuwasiliane kwa kufahamiana na maelezo zaidi through PM
   
 3. i

  imanisilver New Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaams,
  Nimefurahishwa sana na wazo lako la kuchapisha kitabu. Baada ya kuandika na kuchapisha vitabu mbalimbali ninaelewa karaha na usumbufu unaowakumba waandishi wapya.
  Nitafurahi kukusaidia kufanikisha malengo yako nikijaaliwa. Tafadhali tembelea Welcome to Locus Press na ututumie muhtasari wa kazi yako ili niweze kuifanyia tathmini. Locus Press ina lengo la kutoa upendeleo zaidi kwa waandishi wa kutoka Tanzania.
  Wasalaam,
  Dr Imani Silver Kyaruzi
   
 4. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  mkuu nimekuPM TAYARI.
   
 7. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je kampuni ipi iliyocheap and efficient katika uchapaji?
   
Loading...