Mungu atusaidie kwa kweli .. huwa naona huruma sanahakika umenena tena busara tupu tulio wengi huwa tunakurupuka tu psychologicaly hatujajiandaa kuishi kwa uvumilivu kwenye ndoa siku mbili tatu ndoa haipo.
mpo wengi sana ila tatizo ni kuwa mna endeshwa na hisia za jamii , na kusahahu hisia zenu na mahitaji yenu......Natamani wote tungekuwa na akili kama yako.
Mkuu, kama uko tayari ngoja nikupe break up ya vitu vya msingi.
Usianze mapema stress,ktk ndoa stress zko nyingi so relux bado kuna kutozaa au kuzaa ukioa utagundua kuwa ni ishu kubwa,kuna mke kutaka ndugu zake waishi kwake,kuna mama mkwe aje aishi kwa bintuye km baba alishfark au hawaelewani,kuna kukuta sms za wapenz wake wa zamani possibly wanaendelea,bado mke atapendekeza muda wa kwenda kwao sometime mama yako akiwa kwako.kwa hiyo stress ziko nyingi ukizianza leo hufiki.Na mbaya zaidi mke hata umfanyie harusi kuuuuubwa na mashela makuuubwa hatakumbuka atakapoanza vituko kila ulichofanya ataona Uliamua mwenyewe kupoteza muda na pesa.
Relux mkuu Mpenzi kabla ya ndoa siyo yule wa ndoa hata km ni mtu yule yule ila matendo hutofautiana na utashangaa.
Relux stress bado utazikuta.Nahofu unapoanza kuumiza kichwa kwenye soda na wali wakati ni hiari.
Hilo ni tatizo ambalo najaribu kulikwepa katika kuendesha maisha yangu lakini kwa hili la sherehe naona nazidiwa nguvu.mpo wengi sana ila tatizo ni kuwa mna endeshwa na hisia za jamii , na kusahahu hisia zenu na mahitaji yenu......
Sherehe ya watu 250, inaweza kukucost 10-12M, na inakuwa sherehe ya kawaida tu..
CHOCKSTIC mimi gharama ya sherehe yangu ya harusi ilikuwa 2.3 million!! Siku complocate maisha nilifanya kitu kilicho ndani ya uwezo wangu na sikumchangisha mtu hata mia!!Ndugu zangu wana JF,
Mimi kijana mwenzenu naomba kuchukua nafasi hii kuomba kujuzwa gharama halisi za kuandaa sherehe ya harusi,
Nimeona nitumie jukwaa hili kwa kuamini ya​ kwamba nitapata maoni na taarifa kutoka kwa watu ambao wameshapita kwenye hatua hii na pia itakuwa msaada kwa ambao wanajiandaa kuingia kwenye hatua hii kama mimi,nimekuwa kwenye mahusiano na mwenzangu kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu sasa na sio kwamba muda wote huo nilikuwa sitaki kuoa ila kila nikifikiria gharama za sherehe zinanikwamisha hasa nikiangalia kipato changu,nimekuwa nikisema ngoja nisevu pesa kwaajili ya jambo hili lakini mwisho wa siku yanatokea mambo yanaharibu mipangilio yangu.
Kwa sasa nimeona liwalo na liwe, nimepanga kuoa mwakani mwezi wa tisa Mungu akipenda, kwahiyo kwa kutumia jukwaa hili naomba kujuzwa bajeti ambayo inatosha kuandaa sherehe ya kawaida ambayo tunaweza tukajumuika na kufurahi ambayo haitakuwa na mbwembwe nyingi kwa maana ya kwamba mimi kama bwana harusi nahitaji kuwa na kiasi gani?
Maana nikiangalia uwezo wa familia na watu wa wangu wa karibu ni mdogo,maana nataka niangalie kama naweza ningependa nusu ya gharama ya bajeti nijigharamie mwenyewe,natumini nitapata maelekezo chanya kwa maana ya wapi nitapata ukumbi,mc,vinywaji,nakadhalika ambavyo vitakuwa standard lakini kwa bei ya kawaida.
Kwa ufupi ni hayo,kama kuna makosa ya uwasilishaji na uandishi mtanisahihisha.
Naomba kuwasilisha kwenu
NB,gharama ziwe za sherehe ya ukumbini
basi sawa mkuu tafuta bajeti .. hata kadinner party kanatoshaHilo ni tatizo ambalo najaribu kulikwepa katika kuendesha maisha yangu lakini kwa hili la sherehe naona nazidiwa nguvu.
Duh!umetisha,ila mwenzio alikubali?maana makubaliano ni ya pande mbili au alikubali shingo upande?CHOCKSTIC mimi gharama ya sherehe yangu ya harusi ilikuwa 2.3 million!! Siku complocate maisha nilifanya kitu kilicho ndani ya uwezo wangu na sikumchangisha mtu hata mia!!
Nilifanyia harusi nemax royal hotel wana ukumbi mzuri for 50-60 people na walinipa offer nzuri; nililipia chakula na vinywaji ila ukumbi hawakinichaji. MC alikuwa my sister na ukumbi ulikuwa na PAS,tulikuja na laptop yetu tuka connect my bro akawa anapiga music.
Gari la bi harusi lilitumika la kwangu binafsi.
Uamuzi ni wa kwako, its possible.
wengi tunaandaa mambo ya nje nivae shela harusi kubwa ... tunaandaa kufurahisha jamii huku tukisahahu kujifanyia evaluation in detail je kweli moyo wangu upo tayari kuishi na huyu binti na je nitamvumilia mangapi kwa mda gani? na je yeye kajiandaa kiasi gani kukubaliana na mapungufu yangu? na je ni kweli kuna chemistry between you too au mnaoneana huruma au mnafanya tu bila kujua kwa nini mnafanya? lingine mmemtanguliza Mungu kiasi gani katika kusimamia ndoa yenu au Mungu anapewa nafasi ndogo ndiyo maana hata kwenye kadi mnawaambia watu mkutane ukumbini huku tendo muhimu la ibada hamataki jamii ishiriki ,, na pia ninyi mpo pale kama misanamu tu huku mkiwa na mawazo sijui ukumbini kumepelea nini? sijui mtu wa keki kafika ? sijui kamati imekaaje?
muhimu ni kuandaa mioyo zaidi kuliko sherehe za masaa mawili wakati ndoa ni maisha ..........
thank youI love it..... Ur telling the truth
Mwenzangu sio mtu wa kupenda masherehe makubwa makubwa kwa hiyo tulikibaliana vizuri tuu wala hakukuwa na shida.Duh!umetisha,ila mwenzio alikubali?maana makubaliano ni ya pande mbili au alikubali shingo upande?
mpo wengi sana ila tatizo ni kuwa mna endeshwa na hisia za jamii , na kusahahu hisia zenu na mahitaji yenu......
duh si mingi kwa sababu mingi mmefichana...... mi gharama za harusi sina.. mimi naweza kukushauri achana na harusi funga ndoa tu kalale home japo ni ngumu kukubali
mkuu mimi hapa mama yangu akiongelea hayo mambo tunapishana kwa sababu tu mimi naamini ndoa na sitaki harusi.... kwa hiyo nimeshaamua na hapa nilipo najaribu kumshawishi huyu mpenzi wangu kuwa aachane na maswala ya harusi tufunge ndoa.. na namshukuru Mungu tupo karibu kuelewana japo anahisi kama kuna jambo namficha... ninakajukumu cha kuendelea kumshawishi mpaka tuelewane tu... mwenzangu akinielwa anakazi na yeye yakuelezea wazazi wake pia waelewe... now days bwana wazazi ndiyo wamekuwa watu wa kwanza kushurutisha harusi mara send off sababu kubwa atakuambia kuwa amechangia harusi nyingi na yeye anatakiwa achangiwe ambapo to me ni hoja jepesi tu hiii ... any way msimamo wangu siubadilishi sababu sitendi dhambi ila nafanya lile la msingiUmenifurahisha sana! Unaonekana ni mwanamke mwenye upeo fulani hivi tofauti na wengine!
Swali, ww mwenyewe ukishauriwa ufanye hvo kama unavyomshauri mwenzio afanye uko tayari???
asante mkuusioni kitufe cha like kwangu, lakine pokea like*1000
mkuu mimi hapa mama yangu akiongelea hayo mambo tunapishana kwa sababu tu mimi naamini ndoa na sitaki harusi.... kwa hiyo nimeshaamua na hapa nilipo najaribu kumshawishi huyu mpenzi wangu kuwa aachane na maswala ya harusi tufunge ndoa.. na namshukuru Mungu tupo karibu kuelewana japo anahisi kama kuna jambo namficha... ninakajukumu cha kuendelea kumshawishi mpaka tuelewane tu... mwenzangu akinielwa anakazi na yeye yakuelezea wazazi wake pia waelewe... now days bwana wazazi ndiyo wamekuwa watu wa kwanza kushurutisha harusi mara send off sababu kubwa atakuambia kuwa amechangia harusi nyingi na yeye anatakiwa achangiwe ambapo to me ni hoja jepesi tu hiii ... any way msimamo wangu siubadilishi sababu sitendi dhambi ila nafanya lile la msingi
hapo tu ndipo napo shindwa kuelewa kwa kweli .. hili swala la kuchangishana harusi sendoff niliachwe kabisa....Safi sana mdada!!! Wadada wote wangekuwa hivi ingekuwa poa sana kwa sababu wanawake wengi ndio hulazimisha sherehe za gharama kubwa kuliko uhalisia wao wa kiuchumi.