Naombeni msaada wa maelekezo yenu juu ya aina gani nzuri ya Printer kwa ajili ya kusafishia picha za digital studio na bei zake. PRINTER YA KISASA KABISA ITAKAYONIWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWANI NIPO KTK MCHAKATO WA KUMILIKI PHOTO STUDIO.
hadi a4 mkuu na ktk printer zote ndiyo ya ukweli
Mfumo huo unaitwa CISS (Continuous ink system supply) ni mzuri sana na gharama yake ni nafuu, tatizo kupata hayo matank yake ndio kazi kwani bei yake iko juu ukiongezea pesa kidogo tu unanua priter nyingine..inakuwa na wino wa kujaza pembeni kwa nyuma mkuu
Mfumo huo unaitwa CISS (Continuous ink system supply) ni mzuri sana na gharama yake ni nafuu, tatizo kupata hayo matank yake ndio kazi kwani bei yake iko juu ukiongezea pesa kidogo tu unanua priter nyingine..
Ila ukifanikiwa kuyapata ni mazuri na utapata faida kubwa sana kama unawateja wakutosha.
Printer yenyewe ndio ipi mkuu? mwongozo pls!
inategemea unanunua kwa matumizi gani?, kama ni biashara angalia na mzunguko wa biashara yako na demand...na kama ni matumizi binafsi kuna printer ndogo zaidi na bei nafuuUnanishaurije hapo?
Mfumo huo unaitwa CISS (Continuous ink system supply) ni mzuri sana na gharama yake ni nafuu, tatizo kupata hayo matank yake ndio kazi kwani bei yake iko juu ukiongezea pesa kidogo tu unanua priter nyingine..
Ila ukifanikiwa kuyapata ni mazuri na utapata faida kubwa sana kama unawateja wakutosha.
Ipo Epson nzuri sana bei poa ni PM
- Mfano wake ni EPSON L Series:
- Ingia hii link : https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=8400664
Tumia hizi:mkuu link hii inazingua, haifunguki kabisa