- Thread starter
- #21
vipi ghrama za mafuta kwenye mikoa zalishi ya mafuta hayo ya kupikia anayejua gharama za huko je??Huku kwetu Arusha lita 6,000/7,000
vipi ghrama za mafuta kwenye mikoa zalishi ya mafuta hayo ya kupikia anayejua gharama za huko je??Huku kwetu Arusha lita 6,000/7,000
naskia kuna fununu mei mosi hii kuna ongezeko ni "fununu lakini" inaweza nayo ikapita holaGesi imepanda, mafuta ya kupikia yamepanda, petrol imepanda, sukari imepanda, vifurushi vimepanda...MISHAHARA KWANINI ISIPANDE.
Tatizo ni mwalimu wako wa jiografia wa std 3 au wewe ndio network inakamata na kuachia! Kumbe mafuta tunayotumia sisi meli zetu zinapitia hapo zikitokea Uturuki na Italia?Kwa hali ilivyokuwa pale Suez Canal meli nyingi zimechelewa kuleta mizigo kwenye ports of destination, hii imefanya zaidi ya meli 400 za mizigo kukwama gharama itapanda tu.
lengo kueleweshana mkuuTatizo ni mwalimu wako wa jiografia wa std 3 au wewe ndio network inakamata na kuachia! Kumbe mafuta tunayotumia sisi meli zetu zinapitia hapo zikitokea Uturuki na Italia?
View attachment 1746426
hapa sio kueleweshana jamaa katudanganya!lengo kueleweshana mkuu
Meli haitoki saudia ikaja straight Tanzania ungeuliza kwanza boss. Hakuna meli inakuja straight to Tanzania 😃Tatizo ni mwalimu wako wa jiografia wa std 3 au wewe ndio network inakamata na kuachia! Kumbe mafuta tunayotumia sisi meli zetu zinapitia hapo zikitokea Uturuki na Italia?
View attachment 1746426
Bei ya mafuta inapangwa huko kwenye soko la dunia kutokana na demand na supply ,Bei iendelee hii hii, kuna kipindi mafuta yalishuka Sana Bei baada ya serikali kuingilia, watu wakaanza kulalama kjwa serikali iache soko liamue bei. Iongezeke ili tupate akili
inamaanisha wimbi la pili la corona halija hit vzr ndo maana kuna mfumuko wa kodiBei ya mafuta inapangwa huko kwenye soko la dunia kutokana na demand na supply ,
Ukiona mafuta yanapanda Tanzania ni dunia mzima yamepanda sio kwetu tu.
Yaani Ewura wametuharibia furaha yetu!!!Habarini wanajamvi, katika pita pita zangu nimeona gharama za mafuta hapa nchini kwetu Tanzania( Aprili 2021). Kwangu mimi naona zinazidi kupanda tu.Kiukweli mimi sio mtaalamu wa mambo haya lakini naombeni watu watueleweshe inakuaje mafuta yanapanda bei. Sambamba na nini kifanyike bei iwe rafiki kwa watumiaji wa kila siku.View attachment 1745384
bei mpya za mfuta kuanzia tarehe 7 april 2021View attachment 1745386
Sawa mkuu hizo tankers huwa zinapitia wapi kabla ya kuja Tanzania?Meli haitoki saudia ikaja straight Tanzania ungeuliza kwanza boss. Hakuna meli inakuja straight to Tanzania 😃