Rafiki yangu ambae pia ni afisa wa jeshi kwa ngazi ya kanali pale kwa kambi ya Abdallah Twalipo, temeke (sabasaba) amenijuza hivi punde kwamba, wametoa magari 75 ambapo kila gari moja lina uwezo wa kubeba tani 20.
Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja ya magari how 75, itasomba tani 1500.
Sasa, ili kumaliza zile tani 200+, magari hayo 75 yatakwenda trip 133 za Dar ~ Mtwara ~ Dar.
Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja I wastani wa siku 3 (kwenda, kupakia mzigo na kurudi Dar)
Sasa ukichukua izo siku 3 kwa kila trip 133, ni sawasawa na siku 400. 😅🤣😅🤣
Yani Tutatumia takribani mwaka kubeba au tuseme kusomba au tuite kusafirisha izo Korosho from Mtwara to Dar. 🤣🤣
Bado nimemuuliza anifanyie "itafiti" wa kiwango cha mafuta (fuels) kitakachotuka, kisha tupige hesabu ya gharama za fuels iyo alafu tujumlishe kwenye transportation..... 😅🤣😅
Kumbuka pia tumejuzwa gharama halisi ya manunuzi ni Tsh 720Bn huku mtaji wa TADB ukikisiwa kuwa ni Tsh 60Bn 🤣
Bado natafakari!!!
Wacha tuzidi kuyachimba