Gharama za kwenda Mtwara kufuata korosho ni kubwa kuliko bei ya 1000 kwa kilo

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Rafiki yangu ambae pia ni afisa wa jeshi kwa ngazi ya kanali pale kwa kambi ya Abdallah Twalipo, temeke (sabasaba) amenijuza hivi punde kwamba, wametoa magari 75 ambapo kila gari moja lina uwezo wa kubeba tani 20.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja ya magari how 75, itasomba tani 1500.

Sasa, ili kumaliza zile tani 200+, magari hayo 75 yatakwenda trip 133 za Dar ~ Mtwara ~ Dar.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja I wastani wa siku 3 (kwenda, kupakia mzigo na kurudi Dar)

Sasa ukichukua izo siku 3 kwa kila trip 133, ni sawasawa na siku 400. 😅🤣😅🤣

Yani Tutatumia takribani mwaka kubeba au tuseme kusomba au tuite kusafirisha izo Korosho from Mtwara to Dar. 🤣🤣

Bado nimemuuliza anifanyie "itafiti" wa kiwango cha mafuta (fuels) kitakachotuka, kisha tupige hesabu ya gharama za fuels iyo alafu tujumlishe kwenye transportation..... 😅🤣😅

Kumbuka pia tumejuzwa gharama halisi ya manunuzi ni Tsh 720Bn huku mtaji wa TADB ukikisiwa kuwa ni Tsh 60Bn 🤣

Bado natafakari!!!

Wacha tuzidi kuyachimba
 
tapatalk_jpeg_1542131910472.jpeg
 
Hii bank inatumika kuficha ukweli juu ya hizi pesa zitakapo toka tuu mkulu kaogopa hoja ya kukwapua pesa hazina bila kibari cha bunge kaona awatwishe mzigo huu iyo bank ya kilimo
Washauri wanaomshauri huyu mzee siyo watanzania
Banyamulenge au maintarahamwe!
 
On a serious note, ninaamini kuna washauri wazuri sana nchi hii lakini mkuu hataki ushauri wao. Jeshi haliwezi kuwa ndo mfumo mpya wa ununuzi wa mazao ya biashara na wala mwaka kesho hawaeezi kufanya hivi tena baada ya kupata hasara watakayoipata.
 
We mtoa mada itakua sio mzalendo.

Jamani tuendelee kuunga mkono juhudi za Rais wetu mpendwa. Rais wa sisi maskini na wanyonge wa nchii.

Hakika Tanzania ya viwanda ninaiona hivi karibuni.

Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM
Na zidumu kwa miaka miwili iliyobakia
 
Rafiki yangu ambae pia ni afisa wa jeshi kwa ngazi ya kanali pale kwa kambi ya Abdallah Twalipo, temeke (sabasaba) amenijuza hivi punde kwamba, wametoa magari 75 ambapo kila gari moja lina uwezo wa kubeba tani 20.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja ya magari how 75, itasomba tani 1500.

Sasa, ili kumaliza zile tani 200+, magari hayo 75 yatakwenda trip 133 za Dar ~ Mtwara ~ Dar.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja I wastani wa siku 3 (kwenda, kupakia mzigo na kurudi Dar)

Sasa ukichukua izo siku 3 kwa kila trip 133, ni sawasawa na siku 400. 🤣🤣

Yani Tutatumia takribani mwaka kubeba au tuseme kusomba au tuite kusafirisha izo Korosho from Mtwara to Dar. 🤣🤣

Bado nimemuuliza anifanyie "itafiti" wa kiwango cha mafuta (fuels) kitakachotuka, kisha tupige hesabu ya gharama za fuels iyo alafu tujumlishe kwenye transportation..... 🤣

Kumbuka pia tumejuzwa gharama halisi ya manunuzi ni Tsh 720Bn huku mtaji wa TADB ukikisiwa kuwa ni Tsh 60Bn 🤣

Bado natafakari!!!

Wacha tuzidi kuyachimba
Tumetoka kuhakiki watumishi, sasa hivi tunahakiki korosho.

Yaani waziri wa kilimo anauliza hili gunia linatunzaje korosho, daaah Leo nimecheka kweli kweli.
 
Rafiki yangu ambae pia ni afisa wa jeshi kwa ngazi ya kanali pale kwa kambi ya Abdallah Twalipo, temeke (sabasaba) amenijuza hivi punde kwamba, wametoa magari 75 ambapo kila gari moja lina uwezo wa kubeba tani 20.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja ya magari how 75, itasomba tani 1500.

Sasa, ili kumaliza zile tani 200+, magari hayo 75 yatakwenda trip 133 za Dar ~ Mtwara ~ Dar.

Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja I wastani wa siku 3 (kwenda, kupakia mzigo na kurudi Dar)

Sasa ukichukua izo siku 3 kwa kila trip 133, ni sawasawa na siku 400.

Yani Tutatumia takribani mwaka kubeba au tuseme kusomba au tuite kusafirisha izo Korosho from Mtwara to Dar.

Bado nimemuuliza anifanyie "itafiti" wa kiwango cha mafuta (fuels) kitakachotuka, kisha tupige hesabu ya gharama za fuels iyo alafu tujumlishe kwenye transportation.....

Kumbuka pia tumejuzwa gharama halisi ya manunuzi ni Tsh 720Bn huku mtaji wa TADB ukikisiwa kuwa ni Tsh 60Bn

Bado natafakari!!!

Wacha tuzidi kuyachimba
Endelea kutafakari ila wenzako kesho tunaanza kuingiza pesa .
 
Back
Top Bottom