Gharama za kwenda Cape Town na kukaa siku moja?

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Posts
914
Reaction score
567
wakuu nauliza gharama ya kwenda south africa jiji la cape town.
kushinda angalau siku moja then kurudi bongoland.

sio mbaya ukitoa cheap price ya kautalii kwa siku.

msaada please
 
Utatumia usafiri gani? Ndege au Basi?Kumbuka hakuna ndege/basi la moja kwa moja toka Tz mpaka Cape T....ukifika Jozy lazima uunganishe Ndege/basi au Train mpaka Cape ..Ukipanda Bus za Intercape ni R 600 haya mabasi ni mazuri mnoo,Ndege ni R 950-1000 inategemea na msimu.Train ni R500 (ukipanda bus au train utakaa road zaidi ya masaa 20 kuendelea)Na hotel cheap kabisa hapa capetown ni R300 per night kama 45,000/=tzs....Chakula ndio cha kumwaga bei ya kutupa kabisa hakuna kufa njaa.Usisahau kubeba sweta nzito kujikinga na baridi
 
Sehemu ya kulala asijali sana anaweza kwenda pale METRO akawakuta vijana wa kibongo akalala hata kwenye kibarazani
 
hahaha...hapana Aisee watampoteza ,,Asithubutu wala kujaribu wale machisco wamepinda kama dawa ya m'mbu ukiwanyoosha tu wanavunjika.
 
Utatumia usafiri gani? Ndege au Basi?Kumbuka hakuna ndege/basi la moja kwa moja toka Tz mpaka Cape T....ukifika Jozy lazima uunganishe Ndege/basi au Train mpaka Cape ..Ukipanda Bus za Intercape ni R 600 haya mabasi ni mazuri mnoo,Ndege ni R 950-1000 inategemea na msimu.Train ni R500 (ukipanda bus au train utakaa road zaidi ya masaa 20 kuendelea)Na hotel cheap kabisa hapa capetown ni R300 per night kama 45,000/=tzs....Chakula ndio cha kumwaga bei ya kutupa kabisa hakuna kufa njaa.Usisahau kubeba sweta nzito kujikinga na baridi

naomba kujua kutokea tanzania kwa basi hapa dareslam basi gani ni zuri na utaenda kushukia wapi na kwa huko usafiri gan mzur wa kuunganisha mpaka south
 
Kiongozi nitajie list mbili tatu ya sehemu nzuri ambayo mgeni kama mimi na weza kutembelea.
Pia louge au hotel ambayo per night haizidi Tsh 100,000/=
pusha la magogoni
Mambo vp?..Kuna kama Harbouredge Apartments ni kama 120,000/=
Spring Tide In 75,000/=tzs...Vile vile ukitalii mitaa ya camps bay na sea point utapata za bei ya chini zaidi na ubora wake ni mzuri tu.Karibu sana dizonga pusha.
 
Last edited by a moderator:

Shukrani kiogozi,kumbe kwa Babu kunaendaka vizuri tu.
 
Last edited by a moderator:
naomba kujua kutokea tanzania kwa basi hapa dareslam basi gani ni zuri na utaenda kushukia wapi na kwa huko usafiri gan mzur wa kuunganisha mpaka south
Kwa basi kutoka dar ni muda mrefu kidogo siwezi kumbuka way back since 2007/8..nenda ubungo kaulizie..Gharama za kutoka Jburg mpaka cape town nimezielezea juu hapo.
 
Nashangaa anayesema hakuna usafiri wa Ndege wa moja kwa moja kwenda Capetown
wewe bofya hapa: https://www.flysaa.com/za/en/
ndege za South African Airway zipo Kila siku kutoka Dar
Ticket ya Kwenda na krudi ni kama $710. kuhusu malazi na Chakula wengi wamesha eleza
 
Utatumia usafiri gani? Ndege au Basi?Kumbuka hakuna ndege/basi la moja kwa moja toka Tz mpaka Cape T....ukifika Jozy lazima uunganishe Ndege/basi au Train mpaka Cape ..Ukipanda Bus za Intercape ni R 600 haya mabasi ni mazuri mnoo,Ndege ni R 950-1000 inategemea na msimu.Train ni R500 (ukipanda bus au train utakaa road zaidi ya masaa 20 kuendelea)Na hotel cheap kabisa hapa capetown ni R300 per night kama 45,000/=tzs....Chakula ndio cha kumwaga bei ya kutupa kabisa hakuna kufa njaa.Usisahau kubeba sweta nzito kujikinga na baridi[/QUOTE

ndege chief
 
Nashangaa anayesema hakuna usafiri wa Ndege wa moja kwa moja kwenda Capetown
wewe bofya hapa: https://www.flysaa.com/za/en/
ndege za South African Airway zipo Kila siku kutoka Dar
Ticket ya Kwenda na krudi ni kama $710. kuhusu malazi na Chakula wengi wamesha eleza

Lakini yawezekana kutoka Joberg to Cape town labda inaweza kuwa cheap. hii nafikiri ni option nzuri. hapo mahala ndio sehemu yangu ya kwanza nje ya tanzania nimepanga kwenda
 
wakuu,
huyu jamaa kanitamanish namimi.
hivi kwa ela za madafu, to and from dizonga, itabid I nichangie kiasi gani kweye pipa.
na ni masaa mangapi ntakua angani?
 
Water front ndio mpango mzima....japo hotel zake ghali kidogo maeneo haya unakuja kutalii siku nzima then unasepa zako kwenda kulala kwenye townships:wink2:.....
 
Back
Top Bottom