Kama hauko smart kwenye mitandao utatekwa usitoe huo utambulisho.Ndugu mteja,
Tunakushukuru kwa kuelewa maelekezo yetu. Tunaomba utupatie namba ya ombi/namba ya simu iliyotumika kuwasilisha ombi hilo au namba ya malipo ili tuweze kufuatilia taarifa za ombi hilo na kukupatia msaada zaidi.
Asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja. ^RS
Wewe ukisema una Nyumba ,je Chivayo ,Rick Ross ,50 cent ,Lugumi ,GSM ,Samuya nao waseme wana nini?Mtanzania bwana akijenga nyumba huiita kibanda eti nna kakibanda KANGU. Umekuwa kuku? Jiamini sema nna nyumba yangu sio nna kibanda changu.
Mkuu inakuwaje Umbali wa njia tatu zaidi ya mita 120?Ndugu Mteja,
Tumempa mteja maelezo kuhusu bei elekezi za kuunganishiwa umeme kulingana na swali lake.
Asante kwa kuwasiliana nasi.^NI
Mkuu, mie nilishafanya Application imepita miezi miwili sasa, halafu kama wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu na TANESCO hapa nilipo wakaniambia watanitumia Control number nilipie waje kufunga umeme ila mpaka muda huu hawajatumaHabari ndugu mteja,
asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja, tafadhali fanya maombi ili hatua zingine zifuate na uweze kupata huduma.^HN
Mkuu, mie nilishafanya Application imepita miezi miwili sasa, halafu kama wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu na TANESCO hapa nilipo wakaniambia watanitumia Control number nilipie waje kufunga umeme ila mpaka muda huu hawajatuma
Hapo inakuaje Sheikh?
Tuma PM si unataka kusaidiwa, vinginevyo seafuate huko ofisinMambo sio salama kutoa taarifa zako kiboya boya hata kama unashida ya umeme. Tunaongozwa na Mafia families Mexican cartels na mafioso.
Habari ndugu mteja,Kama hauko smart kwenye mitandao utatekwa usitoe huo utambulisho.
Ila pamoja na mambo yao TANESCO kwenye kuunganisha umeme lately wamenifurahisha. Kuna location mbili baada ya kulipa walinipigia simu baada ya siku 2 wakaja kufunga umeme. Location ingine ambayo ilihitqji nguzo moja nilipia 696k I think hii walichukua wiki mbili tu.Mkuu, mie nilishafanya Application imepita miezi miwili sasa, halafu kama wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu na TANESCO hapa nilipo wakaniambia watanitumia Control number nilipie waje kufunga umeme ila mpaka muda huu hawajatuma
Hapo inakuaje Sheikh?
Duuh, sasa hili eneo nalozungumzia ni mjini kabisaIla pamoja na mambo yao TANESCO kwenye kuunganisha umeme lately wamenifurahisha. Kuna location mbili baada ya kulipa walinipigia simu baada ya siku 2 wakaja kufunga umeme. Location ingine ambayo ilihitqji nguzo moja nilipia 696k I think hii walichukua wiki mbili tu.
Habari ndugu mteja,Mkuu inakuwaje Umbali wa njia tatu zaidi ya mita 120?
Habari ndugu mteja,Mkuu, mie nilishafanya Application imepita miezi miwili sasa, halafu kama wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu na TANESCO hapa nilipo wakaniambia watanitumia Control number nilipie waje kufunga umeme ila mpaka muda huu hawajatuma
Hapo inakuaje Sheikh?
Habari ndugu mteja,Ila pamoja na mambo yao TANESCO kwenye kuunganisha umeme lately wamenifurahisha. Kuna location mbili baada ya kulipa walinipigia simu baada ya siku 2 wakaja kufunga umeme. Location ingine ambayo ilihitqji nguzo moja nilipia 696k I think hii walichukua wiki mbili tu.