Salama ndugu mteja,Habari wakuu, Naomba mwenye uzoefu na hili jambo anipe mwongozo.
Nataka kuweka umeme kwenye kakibanda changu lakini kutoka iliko nguvu hadi kibanda kuna uwezekano wa kuwa na nguzo 3 tatu.
Gharama halisi ya kuingiza umeme inaweza kufika shilingi ngapi? Nimeuliza hivyo kwa sababu napata maelezo tofauti. Asante kwa muda wako
Ndugu Mteja,Mastaaaa. Tuipe heshima bwana, umepambana sana kufika apo.
TANESCO angekua anatoa majibu angekusaidia ila uwa anajibu kama robot.
Asante sana ka maelezo, kutoka kwenye nguzo ya mwisho hadi kwenye nyumba yangu Nimeambiwa ni nguzo tatu lakini kuna baadhi ya mafundi wenu walilipa bei tofauti ya gharama hadi nikakata tamaa maana yupo aliyesema laki tisa, yupo aliyesema milioni na laki moja na yupo aliyesema milioni mbili.Salama ndugu mteja,
Fahamu kuwa,
•Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
•Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
•Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
•Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
•Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
•Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/=
Gharama hizi ni kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) 18%
Zingatia gharama halisi utazipata baada ya wataalamu wetu wa vipimo kufika kwenye eneo lako na kufanya tathmini..^NI
Unafanya application, anakuja Surveyor kisha unalipia 321,000/= TuHabari wakuu, Naomba mwenye uzoefu na hili jambo anipe mwongozo.
Nataka kuweka umeme kwenye kakibanda changu lakini kutoka iliko nguvu hadi kibanda kuna uwezekano wa kuwa na nguzo 3 tatu.
Gharama halisi ya kuingiza umeme inaweza kufika shilingi ngapi? Nimeuliza hivyo kwa sababu napata maelezo tofauti. Asante kwa muda wako
Ndugu mteja,Asante sana ka maelezo, kutoka kwenye nguzo ya mwisho hadi kwenye nyumba yangu Nimeambiwa ni nguzo tatu lakini kuna baadhi ya mafundi wenu walilipa bei tofauti ya gharama hadi nikakata tamaa maana yupo aliyesema laki tisa, yupo aliyesema milioni na laki moja na yupo aliyesema milioni mbili.
Umeme ninahitaji ni single phase maana nyumba ya vyumba vitatu. Niliacha hata kufuatilia baada ya kuona tofauti hiyo ya bei na tofauti ya nguzo mbili na tatu.
NimeMastaaaa. Tuipe heshima bwana, umepambana sana kufika apo.
TANESCO angekua anatoa majibu angekusaidia ila uwa anajibu kama robot.
Lakini kwangu kuna gharama, nahitaji kuwekewa nguzo tatu ili niweze kupata umeme.Hiyo Lakini tatu ni kama mtu hahitaji nguzo.Unafanya application, anakuja Surveyor kisha unalipia 321,000/= Tu
NAomba kujua gharama ya kufungiwa umeme kwenye karasha la kusaga mawe ya dhahabu ikiwa nguzo ya umeme ni ndani ya mita 30.Salama ndugu mteja,
Fahamu kuwa,
•Gharama za kuunganisha umeme ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 320,960/=,
•Mteja wa njia moja ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 515,618/=,
•Umbali wa njia moja ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 696,670/=
•Aidha, gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia tatu kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 912,014/=,
•Mteja wa njia tatu ndani ya mita 70 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,249,385/=,
•Umbali wa njia tatu ndani ya mita 120 kutoka kwenye miundombinu ya umeme shilingi 1,639,156/=.
Zingatia
Gharama ya kuunganisha umeme vijijini kwa wateja wa njia moja ni shilingi 27,000/=
Gharama hizi ni kama ilivyoelekezwa na EWURA.
NB: Gharama zote zimejumuisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) 18%
Zingatia gharama halisi utazipata baada ya wataalamu wetu wa vipimo kufika kwenye eneo lako na kufanya tathmini..^NI
Ndugu mteja,
Tunakushukuru kwa kuelewa maelekezo yetu. Tunaomba utupatie namba ya ombi/namba ya simu iliyotumika kuwasilisha ombi hilo au namba ya malipo ili tuweze kufuatilia taarifa za ombi hilo na kukupatia msaada zaidi.
Asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja. ^RaL
Nimeambiwa kuanzia nguzo tatu ni mrdiNdugu mteja,
Tunakushukuru kwa kuelewa maelekezo yetu. Tunaomba utupatie namba ya ombi/namba ya simu iliyotumika kuwasilisha ombi hilo au namba ya malipo ili tuweze kufuatilia taarifa za ombi hilo na kukupatia msaada zaidi.
Asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja. ^RS
011028-2420Ndugu mteja,

Mm Nina fremu, tanatumia watu 8 Mita moja ya umeme, nataka nifunge yangu pekee utaratibu upojeNdugu Mteja,
Tumempa mteja maelezo kuhusu bei elekezi za kuunganishiwa umeme kulingana na swali lake.
Asante kwa kuwasiliana nasi.^NI
Ni lirobot lile, majibu ya akili mnemba yale.Mastaaaa. Tuipe heshima bwana, umepambana sana kufika apo.
TANESCO angekua anatoa majibu angekusaidia ila uwa anajibu kama robot.
Habari ndugu mteja,Mm Nina fremu, tanatumia watu 8 Mita moja ya umeme, nataka nifunge yangu pekee utaratibu upoje
Hapana, hiyo gharama wanaweka nguzo moja bure, hulipii nguzoNime
Lakini kwangu kuna gharama, nahitaji kuwekewa nguzo tatu ili niweze kupata umeme.Hiyo Lakini tatu ni kama mtu hahitaji nguzo.
Ndugu mteja,011028-2420