Gharama za kuwekewa umeme Tsh. 27,000 Tanzania nzima. Je, hii siyo credit kwa Rais Samia suluhu?

Nilikuwa na maombi Tanesco, leo nimenda kuchukua cotrolnumber nimeambiwa nasubiri Kuna marekebisho ya cotrolnumber ili itoke mpya itakayolipiwa kiwango kipya
Kweli mkuu, unajua namimi nasubiria kupigiwa simu nikalipie, sijajua Ni iyo ghalama mpya itakuwa au La
 
mbona tunaenda tanesco wao wanasema hawana mwongozo huo?acheni uwongo tunapotosha watu.ukienda tanesco wao wanasema hawapewa mwongozo huo na wao hawawezi kufanya kazi kwa matamko sasa tupieni humu ndani huo mwongo kama si siasa na propoganda tu?
Kwani silimeongelewa juzi tu na waziri, tulia dogo
 
NAMPONGEZA SANA MAMA SAMIAH NAONA KUNA PROJECT YA NGUZO ZA ZEGE ZA UMEME UNAENDELEA DAR ES SALAAM,NAMPONGEZA KWA MOYO WOTE,
n.b:-nishauri wazisimike katika umbali sahihi nje ya ROAD RESERVE ZA BARABARA ZETU.
Hiyo project ilianzishwa toka 2014 rollout imeanza mwaka jana ukipita Mitaa ya Dsm utaziona nyingi. Tenda kapewa Derm
 
Msishangilie kushuka kwa gharama za tanesco wakati vifaa vya vya umeme vimepanda karibu nusu ya Bei ya awali hasa waya Bei yake ipo juu sana
 
Tanzania ni nchi ya wajinga sana ndio maana MAGOFOOL alikuwa anafanya anachojisikia.
Badala ya kuisifu serikali. Tunaishia kusifu watu binafsi.
Mwendakuzimu aliharibu sana mfumo wa hili Taifa. Alikuwa ni zaidi ya Idd Amin.

Mama Samia usikubali huu ujinga!
 
Nahizi hizi ni gharama bila Nguzo, ka unavuta umeme bila kuhitaji Nguzo, ila kama una hitaji nguzo sidhani kama ni 27, 000 sema hii ya nguzo haisemwi
Hayo ni maelezo yako wewe lakini sio maelezo ya serikali. Maelezo ya serikali bungeni ni kwamba, serikali inagharamia nguzo, na kwa sasa idadi ya nguzo zilizopo ni kubwa kuliko mahitaji kwa mwaka. Na wamesema wazi kwamba, haiwezekani kila mtu akae ndani ya 30 meters kutoka ilipo nguzo ndipo asiwe charged.
 
Ni makosa makubwa kupima utendaji wa Rais kwa siku miamoja.
Toka 321,000 mpaka 27000.
Rais ameanza kuwaonesha wapi anaipeleka nchi na huu ndiyo utetezi kwa wanyonge.

Je, hili halimpi credit mama yetu Samia?
Nadhani hii itakuwa ni kwa REA siyo kwa mijini.
 
Nadhani hii itakuwa ni kwa REA siyo kwa mijini.
Kwa mujibu wa waziri bungeni hivi majuzi, ni kote kote; mjini na vijijini. Na wanadai hata habari za kutozwa gharama za nguzo, ni marufyuku bila kujali upo ndani ya 30 meters or nje ya 30 meters.
 
Ni makosa makubwa kupima utendaji wa Rais kwa siku miamoja.
Toka 321,000 mpaka 27000.
Rais ameanza kuwaonesha wapi anaipeleka nchi na huu ndiyo utetezi kwa wanyonge.

Je, hili halimpi credit mama yetu Samia?
Toka wakati wa Magu umeme ni 27000 nchi nzima mama tumpe credit ya Mafuta (petrol)kutoka 1900/= Kwa lita hadi 2400/=kazi inaendelea.
 
Ni makosa makubwa kupima utendaji wa Rais kwa siku miamoja.
Toka 321,000 mpaka 27000.
Rais ameanza kuwaonesha wapi anaipeleka nchi na huu ndiyo utetezi kwa wanyonge.

Je, hili halimpi credit mama yetu Samia?

Ujinga ni mtaji, ni credit kwa:

1. Mimi
2. Wewe
3. Yeye
4. Na walipa kodi wote!
 
Kwa mujibu wa waziri bungeni hivi majuzi, ni kote kote; mjini na vijijini. Na wanadai hata habari za kutozwa gharama za nguzo, ni marufyuku bila kujali upo ndani ya 30 meters or nje ya 30 meters.
Hilo ni tamkwa kwa Mhemko.Shirika halitaweza kujiendesha hili.Tutashuhudia ucheleweshaji mkubwa wa kuunganishiwa umeme au kutengeneza mazingira ya Rushwa.
 
Mbona Mpango huu Wa REA ni Wa Siku Nyingi......! Apongezwe Kwa Kutousitisha....Yaani Kazi Iendelee
Siku nyingi zipi?kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya tu!!hiyo 27, 000 ilikuwa ni kwa maeneo ya vijijini tu tena kwenye miradi ya REA, lakini mijini ilikuwa ni 177, 000 na 320, 000 kama hakuna nguzo inayohitajika.
 
Back
Top Bottom