Gharama za kuwekewa umeme Tsh. 27,000 Tanzania nzima. Je, hii siyo credit kwa Rais Samia suluhu?

we ms.enge hilo lilianzishwa na Mh. Jakaya. acha shobo!
Hawajitambui hao, Mimi leo nimetoka kulipia bei mpya ya 27000 nivute kwenye fremu zangu,,
Kiukweli Samiah aongoze Nchi hadi achoke yeye, sasaivi ageukie suala la elimu yetu na sekta ya afya tu
 
Kukataa kupongeza juhudi zake ni uchawi lkn pia hiyo ni mojawapo ya majukumu yake .

Rais makini na bora anawajibika kuhakikisha wananchi wake wanaishi kulingana na kipato chao na kufaidika na fursa husika.
Leo mbona anasema haiwezekani? Turudi zamani
 
Leo mbona anasema haiwezekani? Turudi zamani
Daah! Asante kwa kuturejeshea huu uzi. Kumbe naye alisisitiza sh 27,000/ = lkn leo analaumu kwamba kuna mtu alituharibia Tanesco kwa kuweka gharama hizo?
 
Mama Samia, anachukua anaweka waaah...!!!

CCM kama kawaida yao, wanatengeneza tatizo na wanakuja kulitatua baadaye ili wapate ujiko...
 
Back
Top Bottom