Gharama za kutumia Grader

Theodora

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
802
570
Habarini wanaJF. Kama yeyote anafahamu gharama za kulevel kiwanja kwa kutumia grader naomba ushauri. Nimesikia kwamba wanacharge kwa masaa.
 
Wengi wanachaji kwa masaa (lakini kwa kuwa ni biashara,naamini unaweza kubargain kwa namna tofauti kama ukitaka).Gharama pia inategemea na umbali kutoka grader lilipo mpaka site ilipo (i.e. mafuta!). Sijawahi kukodi katika siku za karibuni, lakini kuna uwezekano itakuwa around Tzs 150,000 kwa saa (pengine imepungua kwa sababu kwa sasa yapo mengi zaidi)
 
Kamanda inategemea na site yako iliko lakini rate za ss ni 650,000 kwa siku mafuta unaweka wewe pamoja na kumlipa Operator
 
Aiseee baba yangu kwa bei hizo ni bora nimchukuwe mke wangu mama kawishe na mwanangu kawishe 2kapige kwa jembe

iyo pesa nyingine nikapate mbege
 
Piga namba hii 0719788893 utampata operator wa grader aliye Dar es Salaam, atakupa bei.
Kwa wastani ni sh. 200,000 kwa saa. Ukipata anayemuibia boss wake au kampuni ni chini ya hapo, lakini akipigiwa simu na boss wake anaweza kukimbia ghafla.
Kuna yale magrader yenye tenda za barabara, usiku madereva huwa wanaiba na kwenda kuwafanyia kazi kwa bei za kichekibobu. Kupanga ni kuchagua...
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Yap yap ndio bei zake hizo unaweza kuchukua hata ya manispaa wakakufanyia kazi kwa elfu80-100.
 
wa pale Kimara wanacharge 150,000/=Tsh kwa saa na wanaanzia masaa matatu na kuendelea, yaani kama una kazi ya saa moja ni lazima ulipie masaa matatu, ,,,,,,,,,,,,,, na charge zao zinaanzia gradder linapotoka hapo ofisini kwao, ,,,,,,,,,,,,,,,, haya kamitu yana Gharama sana
 
ila masaa matatu kwa kazi ya residential site ni muda tosha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom