Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Heshima yenu wadau. Nina mpango wa kuja kuweka tangazo langu kwenye Channel ya ITV. Ningependa kujuzwa aina ya matangazo ambayo channel hiyo wanatoa na gharama zake. Ntanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakayejitokeza kunisaidia katika hili.