gharama za kusafirisha sedan toka UK.

gharama za kusafirisha sedan toka UK.

Rwaz

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,293
Reaction score
4,134
wadau naamin jf ndo Tanzania yenyewe. naomba anayejua gharama makadirio kusafirisha sedan car hadi bandari ya dar es salaam aniambie, na hasa kama ni agent mzoefu naweza kumtumia kuzingatia quotations kadhaa. Kwa vile gari inaendelea hadi nchi jiran azingatie hilo.
 
Sijajua kama TBS wana agent wa kukagua magari huko UK maana niliwah agiza gari Singapore kufika bongo TBS wakaanza figisu
 
Back
Top Bottom