Gharama za kusafirisha mzigo kwa ndege toka Dar es Salaam hadi Oman

Sure Mkuu, nipo kwenye Process, nilikua nahangaika kupata Packaging Boxes naona Tanzania Hamna, so nimeagiza nje!
Then soon ntaanza!

Mkuu Mimi sio mchoyo, mbona deal kibao huwa nazimwaga hapa...Juzi tu nilileta Tenda ya kusafirisha Mifugo South Sudan....Ukifatilia Thread zangu utaona Luna deal kibao ambazo nimeona siwezi kufanya nimewapa Watu hapa hapa JF.

Hongera mkuu, ishu ya vibali imekaaje? Utaratibu wa vibali kwa huku Bongo na kule Oman ukoje?
 
Vipi ndugu ulifanikiwa? Mm pia nimepata fursa ya kupeleka maharage na tunda passion sasa naomba kupata muongozo wa Vibali na gharama za usafiri
 
Kuna fulsa nimeiona Oman, ya Chakula, Mbogamboga na Matunda, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha Tani 1 kila week.

Kama unafanya kazi kwenye Kampuni za Ndege hasa zinazoruka direct toka Dar es salaam to Muscat, au unafanya biashara Kama hii hata iwe ni kwa other Gulf countries, uzoefu wowote, ntashukuru ukitoa uzoefu wako.

*Napenda kujua gharama za kusafirisha mzigo.
*Changamoto n.k

Shukrani!
Nanda WIZARA ya KILIMOO WATAKUJUZA KUANZIA VIBALI NA RATE ZA GHARAMA ZITATEGEMEA NAA UZITO NENDA NDEGE UNAYOTAKA KUTUMIA WATAKUJUZA KILA KITU MKUU..UKITOKA NENDA CARGO WAKUPE YANAYOTAKIWA KUFANYA KWENYE MIZIGO YAKO MUNGU AKUTANGULIE USISAHAU SADAKA NA ZAKA
 
Back
Top Bottom