justine Baragamba
New Member
- May 2, 2015
- 4
- 0
Wastani wa chumba kimoja cha4*4 kinachukua mifuko mingapi kwa ratio ya ndio 18 za mchanga kwa mfuko
Hapa unamaanisha mifuko 24 ya cement kwa gari mbili za mchanga.Mdau ni sawa hapo.. sema mililie njaa akupunguziye hadi MILLIONI na laki tano kazi yote na chini kila kitu..
Mifuko 24 Gari mbili za mchanga..
Hongera kwa kujenga kipindi hiki cha mzee magu
Hebu nipatie namba yake uyo FundiMafundi wanawaibia sana watu,kupiga floor ni laki 6? Kupiga plasta hadi milioni vyumba vi3? Poleni mnaoibiwa,kuna mafundi wapo mitaani wazuri na wanapiga kwa bei nzuri,ukienda kichwa kichwa gari kubwa lazima upigwe...mie kuna Fundi alinipigia floor chumba na sebule/chumba mita nne kwa mita nne kwa elfu 40.
Huyo fundi anakupiga pesaFundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.
Kutengeneza floor ametaka laki sita pamoja na kuweka timanzi.
Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Naweza pata namba za fundi wako huyu... Naomba nisaidieFundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.
Kutengeneza floor ametaka laki sita pamoja na kuweka timanzi.
Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
kobiro kwa ligha ya mafundi mitaani kichuma kama cone au pia kina kamba kupima ukuta,kithungu Plumb BobHuyo anatakiwa kupiga plasta ndani na nje tu alafu skimming unatakiwa ukiwa tayari kwenye stage ya kupiga rangi unampa kazi mpiga rangi afanye kazi yote pamoja na kupiga rangi
Samahani lakini ......timanzi ndo nini mkuu?