Gharama za kupiga plasta nyumba

Gharama za kupiga plasta nyumba

Kwenye suala la ujenzi watu wengi tunashindwa kuelewa process.
Mfano mdogo ni huu.

Hiyo nyumba inazaidi ya dirisha 10, zaidi ya milango 10. Kuna kitu kinaitwa koplo kwa lugha rahisi. Koplo ni hatua ya kuzitengeneza angle za dirisha na milango ready for skimming.
Na hakuna fundi anaweza fanya zaidi ya dirisha 3kwa siku
Dirisha moja atakufanyia tshs 10, 000 kwa fundi ambaye ni unprofessional lkn kwa fundi provisional atakufanyia tshs 20, 000 -18000 maana yake nini ?
18000 x 10 window plus 18 x10 door =360, 000
Plasta atakufanyia tshs 1, 200, 000
Jumla tshs 1, 560, 000
Jamvi na floor tshs 600, 000
Skimming tshs 600, 000
Rangi tshs 300, 000

Bado finishing ya nguzo na ni vikolombwezo vingine.

Otherwise you want an ordinary look of your house.
 
Fundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.

Kutengeneza floor ametaka laki na kuweka timanzi laki sita.

Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.

Mdau ni sawa hapo.. sema mililie njaa akupunguziye hadi MILLIONI na laki tano kazi yote na chini kila kitu..

Mifuko 24 Gari mbili za mchanga..

Hongera kwa kujenga kipindi hiki cha mzee magu
 
Fundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.

Kutengeneza floor ametaka laki sita pamoja na kuweka timanzi.

Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Anakuibia huyo kupiga plaster ndani room moja ni elfu 60 kwa hivyo utatumia kama 180k kazi ya ndani tu mpaka nje unawe tumia kama 360k mpaka 400k kwa kazi yote ya plasta tu.. Hapo bado hujaweka na floor kumbuka hiyo no pesa ya ufundi tu bila materials
 
Mzee

Ukiambiwa Nyumba ya vyumba vitatu ujuwe siyo vyakulala tu. Hapo pia kuna Leaving Room. Dinning Room , jiko. Vyoo na kadhalika. Kwahiyo usimnyime Fundi jasho lako.
 
Fundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.

Kutengeneza floor ametaka laki sita pamoja na kuweka timanzi.

Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Huyu fundi mjanja,anataja vitu vingi ili kazi ionekane kubwa. Plasta nzuri haiwezi kupigwa kabla timanzi haijawekwa, timanzi inatumika kama gage ili kufanya ukuta uwe na unene ulio sawa. Kama ni Mimi ningemuuliza bei ya kupiga plaster bila kuweka timanzi halafu nione atasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ni fundi, ukitaka finishing nzuri tafuta fundi atakae kucharge kama ifuatavyo
1. Plaster si chini ya 1mil
2. Skimming pamoja na rangi si chini ya 1.7mil

Ukitaka fundi wa bure bure kama yeye fundi hahitaji mafanikio, Nakutakia Kila la kheri.
 
Tasinia ya ufundi mmeidharau Sana. Market price ya hiyo plaster si chini ya 1.3m
 
Mm ni fundi, ukitaka finishing nzuri tafuta fundi atakae kucharge kama ifuatavyo
1. Plaster si chini ya 1mil
2. Skimming pamoja na rangi si chini ya 1.7mil

Ukitaka fundi wa bure bure kama yeye fundi hahitaji mafanikio, Nakutakia Kila la kheri.
Sio kumbe hata kama upo kanjanja ni vizuri kuchaji bei kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom