Yote hayo kwasababu mnayaendekeza.....peleka barua ya uchumba na wape uwezo wako kuwa ni kiasi fulani, huna zaidi. Waache wenyewe wapige kichwa na zaidi huyo mwenza wako mwache aelewe uwezo wako, nafikiri atakusaidi kwa hili. Lakini ikiwa uhusiano ni showoff tu kuwa unazo na ukapeleka uchumba kwa mbwembwe subiri yakukute....
Na mawazo yako jee mkuuHayo ni mawazo ya kufikirika sana...
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu Gheto kwako uishi nae kinyumba ,ila kuoa jasho la meno litakutoka.
Ukipeleka Ombi la kuoa ujiandae kwa gharama zifuatazo kutoka Familia ya Bibi Harusi Mtarajiwa:
1.Blanketi la Bibi kutoka Home Shopping centre vipisi viwili,rangi ya Purple
2.Blackberry Q10 ya Mshenga
3.iPhone7 Water Proof(itakuwa imetoka) ya Baba Mkwe
4.3-Piece-Suit ya NGOWI. kwa ajili ya Mjomba wa Bibi harusi aliyemsomesha Bi harusi sekondari huko mwanalugali
5.Samsung Galaxy 9 Bold-Wipe Screen ya Mama wa Ubatizo wa bibi harusi
6.iPad ya Kungwi wa bi harusi
7.Koti la Single button Leather by Martin Survivor Kadinda kwa babu wa bi harusi kutoka Ileje
8.Mahari itajumuisha Less-Wig Brazillian Hair kwa mama mzaa chema,na Table sets za mninga kutoka Orcadeco..Hapo bado hujanunua Suti yako,Shela ya Bi Harusi ambaye atang'ang'ania litoke Uturuki,na hapo ana kijacho chako cha miezi 4 kishaanza kutuna kama kitenesi,bado hujalipia Ukumbi Mwika Social Hall,hujammalizia MC Luvanda milioni 4 ya kuwa MC wa harusi yako...THUBUTUU YAKO!
Ukipewa Bili TOTAL utakuwa umehamishia mawazo kumalizia ujenzi wako wa nyumba iliyoko Site kule Goba,utaona kuoa ni upotevu wa hela na muda.
Ndugu yangu heri uoe sasa,usiwaone watu wamechangamka kuoa hii miaka 2 ukajua ni bahati mbaya,WAMEONA MBALI..Ikifika 2017 utaomba Poo,sasa hivi we jishaue kuchagua-chagua tu Mke wa kuoa kama uko mitumbani Karume,Heri uoe huyohuyo hata kama miguu yake imepinda kama Upinde wa Mvua itanyooka mkiwa Honeymoon
SOURCE: HANCE LYMO
wazo la leo keshokutwa; kuzaa mtoto mbaya si kosa lako ila kuoa mke mbaya ni uvivu wa kuchagua.
Na mawazo yako jee mkuu

Masuala mengine sijui watu wanayachukuliaje
Hivi mimi nimwambie binti kuwa nataka nimuoe halafu niambiwe sijui mahari ni milioni sijui ngapi,halafu yeye alazimishe ndoa ya gharama kubwa
Kwani mwanamke ni yeye tu duniani????
Kwani ni lazima nimuoe yeye tu?
Wakati mwingine tunajipa matatizo wenyewe tu
Dunia ina watu karibu bil 7
Kati ya hao wanawake ni zaidi ya bil 4
Halafu ki mwanamke kimoja kikukoseshe usingizi
Wewe si utakuwa una matatizo ya akili tena serious????
Ninapomuona mtu anapatwa wehu kwa sababu ya mtu mmoja kama sio mtoto mdogo basi huyo atakuwa na matatizo sana
Kama wanakuletea longolongo unawapa option tu
Moja;Wakubaliane na wewe umuoe huyo binti
Pili;Hawataki uachane nae utafute mwingine
Maisha yenyewe mafupi halafu ujiwekee mastress ya hovyo hovyo kisa mwanamke?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ya nini?????????????????????
mke m baya yukoje?