Thanx mkuu, uchunguzi nimeufanya kiasi,kusema ukweli upatikanaji wa spare kwa gari ambayo sio jamii ya toyota ni mgumu kidogo but kwa kua naitoa nje nategemea mpaka ianze kuzingu angalau madukan zitakuwepo kuwepo mkuutry this estimator Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com Labda na wewe unisaidie jambo moja hivi umepata taarifa za kutosha kuhusu hiyo mazida demio, hasa upatikanaji wa spea parts zake?
Mkuu Shark vipi hii gari uliinunua? naomba nisaidie kuhusu ugumu wa upatknaji spea maana na mimi niliwahi kuifikiria ila bado sijaichuku -thanxThanx mkuu, uchunguzi nimeufanya kiasi,kusema ukweli upatikanaji wa spare kwa gari ambayo sio jamii ya toyota ni mgumu kidogo but kwa kua naitoa nje nategemea mpaka ianze kuzingu angalau madukan zitakuwepo kuwepo mkuu
Spea unaagiza hata hukohuko Japan ni pesa tu inaongea bi mkubwa/Mkuu Shark vipi hii gari uliinunua? naomba nisaidie kuhusu ugumu wa upatknaji spea maana na mimi niliwahi kuifikiria ila bado sijaichuku -thanx
nyie mnatafuta heartattack eeeh ? Spear za mazda labda uagize japan
achene uoga mbona mazda spare zake zinapatkana kenyaasante BADILI TABIA nadhani huyu Abdulhalim anataka kuniingiza choo cha kiume
achene uoga mbona mazda spare zake zinapatkana kenya
kuna watu huwa wanafikiri gari ni toyota tu, hata mimi zamani nilikuwa nafikiri simu lazima iwe nokia. anyway toyota wana spare mpaka za buku jero kwa sababu ni rahisi kuzifeki na vile vile used zipo kibao na pia za wizi zipo. lakini mazda pia spare zipo, ukikosa mkoani agiza dar arafu ni genuine, the fact ni kwamba gari zote za japan spares zipo sema tu labda bei.Hello wakubwa,kutokana Gharama za mafuta kuzidi kupanda kila siku nimeamua kupumzisha SUV yangu na kuagizia Mazda Demio ya 2003,CC 1,300CIF US$ 2,100Naomba usaidizi wa ukokotozi wa gharama zote za bandari, tra, agency fee n.k.SUV nliichukulia showroom hapa bongo, hivyo michakato hiyo sikuipitia
kuna watu huwa wanafikiri gari ni toyota tu, hata mimi zamani nilikuwa nafikiri simu lazima iwe nokia. anyway toyota wana spare mpaka za buku jero kwa sababu ni rahisi kuzifeki na vile vile used zipo kibao na pia za wizi zipo. lakini mazda pia spare zipo, ukikosa mkoani agiza dar arafu ni genuine, the fact ni kwamba gari zote za japan spares zipo sema tu labda bei.
back to the topic mimi nimeingiza demio ya 2003 ina kama mwezi now inafanya poa tu mafuta inanusa,ndani mufindi kama kawa, CIF ilikuwa $ 2400. kwa sababu ya uchakavu wa mwaka 1, nimelipa kodi jumla 3,300,000 so mpaka nimeikalia imechukua jumla 8,250,000/= kitu mang'anyu kipya km 31,000 tu. so usiogope, yani kuna window 8 arafu kusiwe na sight mirror ya mazda wabongo bana,kwanza mi sijawahi kuona juu ya mawe zaidi ya gx 100 na corola tehe tehe,
hehehehehe furahia tu omba isipate ubovu..........kuna jamaa yangu mwezi wa tatu sasa anadandia lifti na kupigana vikumbo na daladala kisa mazda kifaaa mpaka aagize japan...... Kumbuka hata mafundi pia kuwapata walobobea kwenye mazda nayo issue