heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,046
- 13,392
Wadau, sikutaka harusi kwa sasa ila mwanamke analilia hiyo, nimemwambia hali si nzuri anaumia sana. Sasa,Tshs. milioni 2 inatosha harusi ya namna gani, ndio hela iliyopo. Wazoefu nipeni hesabu. Ni Dar es salaam hapahapa.
hamna harusi ya ml2 hata vinywaj haitosh? Nyie fungeni Ndoa kama ni chuch mrudi mkalale Na sio mnapeleka watu ukumbini alafu unatuonjesha bia 5 tano ndo nin sas hapo