Oooh!!! Thank you so very much..... MUNGU anipe nini tena jamani mie Tized? I am blessed Man.
Ngoja niiharakishe.
Ndo jitahidi kabla sijahairisha bure.......
tukianza na usafiri....TSH.5000
![]()
IKIZIDI SANA TSH.7500 MSHIKAKI....
![]()
3 LOAVES ARE MORE THAN ENOUGH AS CAKE SUBSTITUTE...
![]()
Inatosha na chenji inabaki tafuta mpishi wa sahani 60 kwa 5000 ambapo sawa na laki3,tafuta mc wa kitaa mpe laki,soda crate 3 sh 45k bia crate mbili 130k,maji chupa 120 za nusu lita 60k unakodisha costa mbili tena zile za kusanya kanisani to ukumbini then ukumbini to nyumbani kwa 160k(unawaacha wakafanye yao ila warudi ukimaliza) unakodisha gari mbili ndogo saloon kwa 100000 na mafuta ya elfu 60 unatafuta ukumbi mdogo tu wa laki 2 zipo nyingi tu basi hapo unabakiwa na laki 6 nzima ukitaka kucomplexate hiyo mil2 ni ukumbi tu pale delux au mika nitafute PM kwa mchakato mzima wa kila kitu vitu vyote ntasimamia mimi kuanzia usafiri,ukumbi hadi chakula hiyo ni bajeti ya watu 60 tu,mziki ni 100k tu,shooting cameraman ni 100 tu.
akifanya hivi, kwa kweli chenchi inabakitukianza na usafiri....TSH.5000
![]()
IKIZIDI SANA TSH.7500 MSHIKAKI....
![]()
3 LOAVES ARE MORE THAN ENOUGH AS CAKE SUBSTITUTE...
![]()
maakuli....kijamaa zaidi......
![]()
alternatively.....
![]()
You are very firm on your words.... najua huwezi ahirisha... na ukizingatia utukufu wako kipindi iko utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza.
Thanks God ni shwari mengine ni pilika pilika za dunia kama kawaida,sijui wewe kipande hiyo.?
Same same hapa uzima upo mengine si tunayapata kwa ziada?
Kabisaaaa,uko kwenye kipindi ??
analilia ndoa kwanini?
Hana kwao?
Ana kazi?
Elimu yake ni ipi?
Umri wake?