Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

Ozone_

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
505
Reaction score
669
Barua hii inajieleza yenyewe.
1beffbe8fd934babac1dbc578bad0da1.jpg
 
Hela ndogo sana

Mc garab tu anachaji milioni 4 kwa sherehe. Sasa kulipa 30,000 unasemaje ni gharama
 
Wengine wameona kama noma na iwe noma, hawatachangia sherehe zenye gharama kubwa
 
Hiyo pesa ni mc mliyemchagua ndio analipa kwa serikali kama kodi kutoka kwenye fungu lake.
Hivyo mkimlipa milioni anatoa hiyo 30
 
Hela ndogo sana

Mc garab tu anachaji milioni 4 kwa sherehe. Sasa kulipa 30,000 unasemaje ni gharama
Kumbe ndo ID yako hii naona siku hizi unajitahidi mazoezi kule TikTok unataka vitoto vya 2000 viombe maji
 
Hii imekaaje mazee kama mtu tayari biashara yako ipo registered TRA then per event unalipia tena halmashauri kwann isibaki kuwa kama kodi tuu
 
Hii imekaaje mazee kama mtu tayari biashara yako ipo registered TRA then per event unalipia tena halmashauri kwann isibaki kuwa kama kodi tuu
Sijui wanafikiria nini maana kodi zinakuwa nyingi kila sehem.
 
Sherehe gani tena ? Watu mna siri sana !

Ni mwendo wa ukauzu dagaa
 
Back
Top Bottom