Gharama za gari aina ya Hummer

Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi
Mkuu usimvunje moyo.
Kununua gari ni sawa na kuchagua mpenzi, wengine wanapenda chura, wengine flat, wengine guu flani, wengine rangi ya chungwa.
Acha atimize malengo yako bila kujali linaonekaje na ulaji mafuta ukoje.
Duniani hatulingani, wengine pesa sio tatizo bali wazitumie je
 
Mkuu usimvunje moyo.
Kununua gari ni sawa na kuchagua mpenzi, wengine wanapenda chura, wengine flat, wengine guu flani, wengine rangi ya chungwa.
Acha atimize malengo yako bila kujali linaonekaje na ulaji mafuta ukoje.
Duniani hatulingani, wengine pesa sio tatizo bali wazitumie je
Oh i have let him go for is heart, sidhani kama ushauri unaweza kuzidi dhamira ya mtu
 
mkuu mbona una leta povu la kuonesha kua una bifu na maendeleo ya watu-limbukeni atembee na hammer ,nyundo c li gari la kimchezo mchozo unavo potosha ,au ndo sisi kila jambo ubishi"""

Povu langu ukiliona utapofuka macho ushindwe hata kuandika hapa.

Hujaona hata ushuzi wa povu ushaanza kulialia?

Wewe ukiwa nawe limbukeni pengine huwezi hata kujua limbukeni ni nani na anakuwaje.

Hummer na Saturn ni brands ambazo GM ilishindwa kuziendeleza kwa kukosa market,Hummer nimagari fulani ya ubishoo wa kijinga,hayana fuelefficiency,hayana practical use, hayana aesthetics za gari, ni magari ya kuwakamata watu wanaopenda kununua vitu kwa mkumbo wa kutafuta u Schwarzenegger.

Wrewe uko wapi kwanza na unafuatilia magari kivipi?
 
Hummer hazitengenzwi tena duniani hapa, kwa hiyo huwezi kupata mpya. Hummer ya mwisho ilitengezwa South Africa mwaka 2009.
 
Cha kushangaza mkuu ni kuwa; Hapo hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anayo Hummer ila wote wameiponda. Mkuu; ka una kauwezo nenda kainunue uishike kwanza mkononi mwenyewe ndo utajua ni nzuri au mbaya. Baasi.
Usiogope ngurumo ya radi na matone bado. Upepo waweza vukisha mvua. Wewe mwenye hiyo nguvu ya fedha ndo uitest hiyo Hummer sio makapuku. Ingelikuwa kila mwanamke anatakiwa apendwe na mwengine tungeliishia kuoa used. The pride of a woman is her own man. Not her in laws.
 
Watu wanaendesha Volkswagen za kizamani itakuwa hammer? Hebu tuache sifa za kijinga, wacha watu wanunue. Wengine wanatafuta Suzuki escudo, wengine maruti. Halafu mswahili mmoja anaponda hammer Eti imepitwa na wakati.
We Nyenyere kwanza hata hujui tofauti ya "hammer" na "Hummer".

Utaelewa vipi ninachoandika hapa?

Jifunze spelling kwanza.
 
Back
Top Bottom