Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

gharama hazipanda ziko vilevile visit kwenye website yao uone no changes
 
Airtel imepandisha gharama za internet, 400mb kwa sasa sh. 5000. Piga *154*44#

nilikwama, ila wadau msijiunge kwa kupiga hiyo *154*44#, bali jiunge kwa ile kutuma neno Internet kwenda 15444, wanakata 2500 kwa zile 400mb, embu tuendelee kujinafasi wadau
 
Njia ya zamani inafanya kazi sawa lakini wanasema wao ni kwa hajili ya SIMU ZA MKONONI siyo kwa ajili ya PC na ni kweli kwani wakidetecctb speed yako iko juu wanaimeza fasta hasa wakati una download lakini kama unasuff unaenjoy sana,......... internet kwenda 15444.....sometyme message wanazifanya zinakua failure ukitumia 15444 but cyo cku zote kwani weakend nzima wamegoma kureply mpaka niliponuna kifurushi cha siku 1 kwa sh500 amabzo ni50mb(time based subscription)
 
Asante kwa ufafanuzi Mkuu.
 
nilikwama, ila wadau msijiunge kwa kupiga hiyo *154*44#, bali jiunge kwa ile kutuma neno Internet kwenda 15444, wanakata 2500 kwa zile 400mb, embu tuendelee kujinafasi wadau

Uko sahihi. Nilitishika na huu uzi. Lakini jana nimejiunga wakakata 2,500 tu. Full kujiachia !
 
Nauza modem yangu ya zantel tsh 20000/sijaitumia miezi sasa naenjoy airtel moneyyyyy!
 
nilikwama, ila wadau msijiunge kwa kupiga hiyo *154*44#, bali jiunge kwa ile kutuma neno Internet kwenda 15444, wanakata 2500 kwa zile 400mb, embu tuendelee kujinafasi wadau

Nashukuru sana wadau,mmeniokoa! Juzi juzi nilinunua 25 mb kwaajili ya simu yangu,sijui hata imeishaje! Hapa sasa 400mb napga nazo mwezi.
 
Ukiwa na 2500/= then unanunua bundle ya 2500/=, haikubali, at least uwe na 2504/=
 
Back
Top Bottom