Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

@Matola, tumia ile ile njia ya zamani yaani tuma neno INTERNET kwenda 15444, utapata 400MB kwa sh 2,500.

Mimi nimerecharge jana tu na hakuna matatizo yo yote.

vipi bado inakaa mwezi mzima? Miye nilinunua wiki jana then jana naambiwa eti ime expire...sijawaelewa.
 
vipi bado inakaa mwezi mzima? Miye nilinunua wiki jana then jana naambiwa eti ime expire...sijawaelewa.
400MB unazopewa inatakiwa uzitumie si zaidi ya mwezi mmoja yaani MB zitakazobaki baada ya kupita mwezi mmoja zitafutwa.

Pia kama utaweza kutumia zote hata kwa wiki moja tu na zikaisha ni sawa, na unaweza kurecharge tena.

Mimi ninapotumia kwenye simu tu huwa sizimalizi, lakini nikitumia kwenye pc kudownload vitu vidogo vidogo huwa haifiki hata wiki mbili.

400MB walizonipa jana, leo zimebaki 390MB, na nimeridhika kwa kazi niliyoifanya kwa kukatwa hizo 10MB.

Kwenye huduma yao hii bado sijaona tofauti yo yote na hapo awali.
 
Upo sahihi mwenyewe nimejiunga kwa njia hii sasa hivi imekubali 400 mb kwa sh 2500. Lakini ukienda kwa *154*44# garama zake ni kub
wa kama wengine walivyosema

Lazima airtel kuna tatizo lakini hawataki kusema ukweli ukiweka 2500 inakubali lkn utapata sio 400mb kwani utafungua Facebook na site ndogondogo tu bora ulioie hiyo 5000
Artel walishaniudhi nimeenda BlackBerry kupitia tigo ni 7000 kwa wiki ni full kujiachia download ikiwemo isiyo na kipimo
 
duuh! Vipi zile 200MB za usiku waliacha kuzitoa, coz najiunga nazo lkn kila nikifanya connectn inagoma? I wish nichakachue modem yangu ili nipate huduma kutoka mitandao mingine! AIRTEL wanatufanyia vibaya.
Mbona usiku internet airtel ni bure? We chakachua modem yako uende kwenye mitandao mingine but am telling u lazima urudi airtel. Mi mwenyewe nilikuwa nimeihama kwa ajili ya spidi lakini sasa hivi nimerudi coz voda inazingua na airtel imekuwa mwake, one touch, kitu kinatik.
 
Ndugu zangu, mi sifahamu rabda kila simu ina utaratibu wake, maana huyu aliyeandika kuwa ametuma internet kwenda no. 15444 akapewa mb400 sijui amefanyaje? mimi tangu juzi tar.14 hata dakika chache zilizo pita nimejaribu nikaambiwa sina salio la kutosha kujiunga na internet wakati limo salio la 2500/= kweli sisi wenye kipato cha chini tutaumia hasa kama mimi mwanafunzi ambaye hata vitabu vingine lazima nitegemee internet.
 
Tatizo Watanzania kusema ukweli kwao ni sumu, Airtel kuna tatizo kubwa la mtandao wao ila hawataki kusema, mimi nilishaweka hiyo 2500 nikaliwa na ikaniambia sina salio la kutosha, then nikatoa line kwenye modem nikaiweka kwenye simu halafu nikanunua vocha nyingine ndio ikakubali na mpaka dakika hii nikituma msg ya kuangalia balance inafeli kwahiyo natumia Internet kwa kukisia tu itakapobuma ndio hapo hapo.
 
Sasa hivi gharama ya chini kabisa airtel bundle ni sh. ngapi ile ya mwezi? maana hapa naona 25mb (tsh1500), 150mb=6000/=, 250mb=10,000/=, 500mb=12,000/=, 1gb=15,000/=.
 
Nyie mnaenda *154*44# kutafuta nini? Andika internet kwenda 15444 na utapata 400mb! Mi naitumia na leo ni siku ya pili tangu nijiunge. Acheni uzushi!

Mkuu tariff zimepanda eiza utumie SMS kununua bundle au USSD COMMAND. hakuna janja hapo mkuu
 
2500/= ipo but wakidetect speed yako iko juu(computer) wanakukata fasta haidumu kama zamani wao wanasema wameiondo ni kwa ajili ya phone users obly hapo mpo!
 
Hii ni mala ya 5 natumia simu yangu kujiunga na hiyo ya 400mb kwa tsh2500 lakini imegoma naambiwa ongeza salio na jaribu tena. salio langu bado ni 2500/= sasa hiyo mnayoisema inakuwaje kwangu haiwezekani!!!
 
kwani mnahangaika wakati zilishatolewa thread tu nyingi za kuchakachua, au mimi huwa sielewi maana ya kuchakachua?
 
Hii ni mala ya 5 natumia simu yangu kujiunga na hiyo ya 400mb kwa tsh2500 lakini imegoma naambiwa ongeza salio na jaribu tena. salio langu bado ni 2500/= sasa hiyo mnayoisema inakuwaje kwangu haiwezekani!!!
Ongeza jero afu ujiunge.
 
Ndugu zangu, mi sifahamu rabda kila simu ina utaratibu wake, maana huyu aliyeandika kuwa ametuma internet kwenda no. 15444 akapewa mb400 sijui amefanyaje? mimi tangu juzi tar.14 hata dakika chache zilizo pita nimejaribu nikaambiwa sina salio la kutosha kujiunga na internet wakati limo salio la 2500/= kweli sisi wenye kipato cha chini tutaumia hasa kama mimi mwanafunzi ambaye hata vitabu vingine lazima nitegemee internet.

Ukiwa na 2500 huwezi jiunga mpaka iwe na zaidi ya hiyo ili ukijiunga salio libakie
 
@Matola, tumia ile ile njia ya zamani yaani tuma neno INTERNET kwenda 15444, utapata 400MB kwa sh 2,500.

Mimi nimerecharge jana tu na hakuna matatizo yo yote.

kweli mkuu kuna njia mbili wengi wao wanatumia mzunguko ambao ni gharama.
 
Back
Top Bottom