Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

sasa wewe ndo umamsemea huyo mwanamke?. kwani yeye kakwambia kwake kazi ni muhimu kama mume?, au ameacha kazi anaomba pesa kwako?. jaribu kushughulikia haki zako kwanza

Kosa nililofanya ni lipi, kutafuta ushauri zaidi wa kummsaidia au? Unajua huyu mama anahitaji msaada na ndo maana nimeona niseme hapa ili kupata ushauri zaid. Nilishaanza kumpa ushauri ili a-balance kazi na ndoa, siyo kuacha kimojawapo. Fikiria mume wake akifariki leo... watoto wao atawalea vipi huku hana chanzo cha mapato??
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?

Huo ni ulimbukeni wa maisha. Tabia hizo ni za kizamani mno. Historia inaonyesha kwamba, mwanaume ama mwanamke anaye kuwa na wivu sana kwa mwenzi wake, Ana CHEAT nje ya ndoa na anahofia kufanyiwa hivyo .
 
Nimeipenda hii...
Yaani nisome kwa shida, degree niipate, huku nahangaika na maCPA leo aniambie niache kazi na mie nikubali? Kisa hajiamini? Lkh mie ningemwamnia aanze yeye kuacha mie nitafuatia...

wala hii haihitaji harakati za haki za binadamu, huyo mwanamke kiazi. Anatakiwa afanya harakati za haki ya mhasibu.
 
jamani msimseme sna pengine anamtafutia biashara nyingine au kama sio hivyo kunajambo siamini from no where unaanza tu kumkataza mkewe kwenda kazini kuna kitu katikati yake mleta ,maada tunaomba ufanye uchunguzi zaidi.
 
huyo mwanamke kama kakubali kuacha kazi atakuwa sio tu kiazi bali ni magimbi kabisa
 
wanaume wengi wanaoachisha kazi wake zao sio tu kuwa hawajiamini, bali ni cheaters na wana silka ya kunyanyasa wanawake, anataka mpaka hela pichu mkewe amuombe........

Akishamzalisha ndo mziki unaanza....

Ila huyo mwanamke asiyejitambua nae elimu haijamsaidia.....

huyo mke kama kaacha kazi, nitamshangaa sana........... ulisomeshwa na huyo mume? ya mbele huyajui, huyo mume kesho aki-dead?
huyo kaka anafikiri nyumbani hakuna wanaume wa kuweza kumtongoza huyo mkewe, watongozaji wapo ofisini tu?
 
Nasikia mwanaume ndiye anayekwenda dukani. Mwanamke anashinda ndani ya geti, hakuna kutoka nje. Saloon haendi, anakwenda saloon za kiume na mumewe kunyoa na siyo kusuka wala kuset. She has lived such a life muda mrefu, amesha zoea kabisa, na aliona kawaida kuacha kazi. Alihitimu masomo ya uhasibu - Diploma mwaka 2010, akapata kazi mara 2 mumewe kamkatalia, mwaka huu March kapata ajira, juzi kaitema kisa mumewe hataki aendelee na kazi. Hawana duka wala kibanda, mumewe ni Mwalimu wa sekondari

Kumbe walishafika huko? Hata hivyo sishangai. . . kuna binti wa kiMassai nae kanyimwa kabisa kutoka kwenye boma lake, hata kwenda kuchota maji hatakiwi na wanaishi maporini.

Alafu mshahara wa ualimu ndio mume anamnyima mke kufanya kazi? Ngoja siku wapate shida ukute hata ka-akiba hawana ndio atajua nini maana ya mke kusoma.
 
Hata kama atamwachisha kazi, km kumegwa atamegwa tu, aache fikra pambafu, mwanamke hachungwi coz hata toilet atamegwa tu akiamua. Sasa siku anamegewa toilet sijui atamwambia na cho cha nje marufuku.
 
huyo mke kama kaacha kazi, nitamshangaa sana........... ulisomeshwa na huyo mume? ya mbele huyajui, huyo mume kesho aki-dead?
huyo kaka anafikiri nyumbani hakuna wanaume wa kuweza kumtongoza huyo mkewe, watongozaji wapo ofisini tu?

...FP wanaume wengine wana akili za kushikiwa....Wivu wao umezidi kiasi mpaka unaweza kuwa chanzo cha kuvunjika ndoa.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?

si amini km mtu mzima anachungwa,pili the way unavyombana mwanadamu ndivyo hivyo hivyo anavyotafuta alternative way ya kudeal na hilo tatizo.huyo bwana aache upumbavu km mke sio mwaminifu hata akiwa nyumbani she wil behave the same.
 
Na huyo Baba pia aache kazi, wafungue biashara tu nyumbani kwao, kama ni duka, haya, kama ni fremu za kupangisha, haya, kama ni Bar, haya, watajuana wenyewe, kwni yeye hawezi kutongozwa na Wanawake mjini na Ofisini kwake pia, Wanaume wenye tabia kama hizo, wao ndio kiboko kwa umalaya, anajua tabia zake na wenzie zilivyo, atakuwa amezoea kutongoza wake na wachumba wa watu huko ofisini kwake, au katika pitapita zake nyingine
 
...FP wanaume wengine wana akili za kushikiwa....Wivu wao umezidi kiasi mpaka unaweza kuwa chanzo cha kuvunjika ndoa.
mume wa hivi namuacha hata kama kanisomesha yeye. yaani kusugua kichwa kwangu miaka yote ya shule niishie kupikia maharage? siku mume wangu atakapoingiza suala la niache kazi ajue achague, mke au kurudia u-bachelor
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wanaume wengi wanaoachisha kazi wake zao sio tu kuwa hawajiamini, bali ni cheaters na wana silka ya kunyanyasa wanawake, anataka mpaka hela pichu mkewe amuombe........

Akishamzalisha ndo mziki unaanza....

Ila huyo mwanamke asiyejitambua nae elimu haijamsaidia.....
kuna dadangu aliachishwa kazi na mumewe, kisha mshahara wanaomlipa ni kidogo, kwa hiyo atakuwa anamkipa yeye ule mshahara akae home alee watoto. dada akaacha kazi. moto uliwaka siku akina mama waliposikia, mbona alirudi kazini bila ridhaa ya mume
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hili mwanaharakati
mkubwa ni mwanamke mwenyewe! Kwani iwapo anatimiziwa kila kitu ana haja
kweli ya kufanya kazi ya kuajiriwa?

Hilo swali atalijibu vizuri ikitokea mume amefariki halafu ndugu wa mume wakamtupia virago nje.
 
Nimegundua kuwa gender based violence haitumiki pale tu wana ndoa wanapotofautiana kwa maana ya ugomvi bali hata pale wanandoa wanapokuwa wanatambuana kama watu wanaopendana sana. Hali kama hii ni GBV. Ni lazima wadau, wanaharakati na wanasheria kuingilia suala hili ili kuokoa maisha ya watu yanayoumia kutoka na ukatili wa kijinsia. Mtu kunyimwa haki yake ya kutumia taaluma yake na uhuru wake wa kufanya kazi ni kinyume na katiba na sheria za nchi.
 
katika hii dunia ya sasa,kuna mwanamke anaweza kuacha kazi kwa ajili ya wivu wa mume?kaaazi kwelikweli!

Back
Top Bottom