enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,110
- 3,673
*****, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;
Harmorapa ni Tsh.150,000
Keisha ni Tsh.300,000
Makamua ni Tsh.140,000
Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.
Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi
Harusi njema mkuu.
Naunga mkono hojaMchukue Ruby mkuu, sherehe yako itapendeza sana, na haitakuwa na vurugu.
Yule binti anajua kuimba sana.
Ukiwachukua diamond, alikiba watu watasahau kama sherehe ni yenu. Kwa kifupi watawapuuza maharusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;
Harmorapa ni Tsh.150,000
Keisha ni Tsh.300,000
Makamua ni Tsh.140,000
Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.
Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi
Harusi njema mkuu.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mchukue Ruby mkuu, sherehe yako itapendeza sana, na haitakuwa na vurugu.
Yule binti anajua kuimba sana.
Ukiwachukua diamond, alikiba watu watasahau kama sherehe ni yenu. Kwa kifupi watawapuuza maharusi.
Duh! Harusi inageuka fursa tena
Chalii hiyo ni ugomviKwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;
Harmorapa ni Tsh.150,000
Keisha ni Tsh.300,000
Makamua ni Tsh.140,000
Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.
Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi
Harusi njema mkuu.
Wa kwetu, upo?Heshima mbele kama tai.
Nataka siku ya harusi yangu nikodi bendi au msanii wa Bongo Fleva, wana gharama gani kwa show ya usiku mmoja?
Diamond laki na 50Heshima mbele kama tai.
Nataka siku ya harusi yangu nikodi bendi au msanii wa Bongo Fleva, wana gharama gani kwa show ya usiku mmoja?
Million 7 kwa show