Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

Michael Bosco

Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
94
Reaction score
52
Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc.
Kwa yoyote mwenye ABC karibu.

Ahsante
 
Ni mtambo wa gongo wa Kizungu, nipe milioni tu tuyajenge.
Ukiona gharama ni kubwa nenda DIT watakutengenezea
 
Umemwangalia Bilionea Mulokozi akakushawishi? Hahaha.

Nenda Manyara ukajifunze...ni muungwana atakupa ABC. Hapa hautapata taarifa za kueleweka
 
Ngoja nitafute mil 50 kwanza niwe nayo mkononi ndio niende
 
Back
Top Bottom