Gharama ya nauli Dar - Johanesburg kwa usafiri wa basi

Nawashangaa kama ni kwenda kurudi kwanini usipande fast jet kwa 700k lau kama unataka kutalii tu kuona nchi za watu sawa panda mabasi
 
Hiyo njia ya Msumbiji ni njia ya watu wa zamani waliokuwa wakipita kule kwa kukosa Passport au Viza.

Safari ya siku 5 huku ukibadilisha magari kama unakwenda Mbinguni ya nini Hiyo kama una mizigo si utaicha njiani?!

Njia nzuri na ya kisasa Unapanda Zako Falcon kutoka Dar mpaka Harare nauli haizidi 150,000 ni safari ya siku mbili tu.

Ukifika Harare unachukua bus pale Harare to Joberg nauli haizidi Rand 300 ambayo kwa pesa ya Kibongo ni chini ya elfu 50.

Ukitoka Harare Jioni Kesho yake asubuhi upo Zako Park Station Joberg unamsubiri muenyeji yako....Kwa mtu mgeni ambae hana uwezo wa kupanda ndege hii ndio njia nyepesi isiyo na gharama
goood
 
kweli mkuu. Pia kwa sisi wazee tunapanda gari from dar to tunduma, then from tunduma to lusaka hapo lusaka kuna mabasi kama 20 hivi yanayoenda joburg kila siku ila mazuri na ya uhakika ni JULDAN na SHALOM.
 
Nilichogundua hapa wengi ni wababaishaji hawajawahi kufika bondeni, Shibekijijini njoo utasaidie huku wewe umeenda juzi hapa.
ha ha ha Shibekijijini yupo capetown anakula bata sasa hivi. Hataki story na watu wa jf tena, mlikuwa mnamkatisha tamaa tu.
 
Hiyo njia ya Msumbiji ni njia ya watu wa zamani waliokuwa wakipita kule kwa kukosa Passport au Viza.

Safari ya siku 5 huku ukibadilisha magari kama unakwenda Mbinguni ya nini Hiyo kama una mizigo si utaicha njiani?!

Njia nzuri na ya kisasa Unapanda Zako Falcon kutoka Dar mpaka Harare nauli haizidi 150,000 ni safari ya siku mbili tu.

Ukifika Harare unachukua bus pale Harare to Joberg nauli haizidi Rand 300 ambayo kwa pesa ya Kibongo ni chini ya elfu 50.

Ukitoka Harare Jioni Kesho yake asubuhi upo Zako Park Station Joberg unamsubiri muenyeji yako....Kwa mtu mgeni ambae hana uwezo wa kupanda ndege hii ndio njia nyepesi isiyo na gharama
Kama huna mwenyeji kaka hotel, lodge, bei zake zikojee hizi za kawaidaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe walikupiga ahaaa ahaaa nauli kutoka Dar-Harare Zimbabwe ni 140,000 na bus linapita Lusaka...we walikuuza ticket ya Lusaka kwa Nauli ya Harare...karibu sana mjini
Unaweza kuangalia umbali wa kutoka Dar-tunduma km ngapi na tunduma - Lusaka km ngapi kama Dar hadi tunduma ni 45k tsh haiwezekani tunduma-lusaka iwe 100k tsh
 
kweli mkuu. Pia kwa sisi wazee tunapanda gari from dar to tunduma, then from tunduma to lusaka hapo lusaka kuna mabasi kama 20 hivi yanayoenda joburg kila siku ila mazuri na ya uhakika ni JULDAN na SHALOM.
Kwaiyo mkuu gharama ya jumla kwasasa ni kama ngapi kwanzia nauli kituo dar hadi kufika kwa madiba, ukijumlisha gharama za malazi yenye usalama na hadhi ya kipato cha kati na cha chini kwa siku.
 
Dar tunduma tshs. 45,000, tunduma/nakonde to lusaka kwacha 250, lusaka to johburg/south africa kwacha 800.
KWACHA MOJA KWA SASA NI SAWA NA TSHS. 127-130. Utapiga mahesabu mwenyewe.

Utaamua kulala kwenye basi au lodge.

Pale lusaka stendi/Intercity lodge nzuri ni kuanzia kwacha 200-300.

NB:HII NJIA NAIJUA VIZURI KWA SABABU HUWA NASAFIRI MARA NYINGI SANA.

NILISHAWAHI KULETA HADI UZI HUMU.
 
Kwa RSA malazi na chakula ni Bei gani kwa siku yaan chakula cha kawaida tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha Shibekijijini yupo capetown anakula bata sasa hivi. Hataki story na watu wa jf tena, mlikuwa mnamkatisha tamaa tu.
Hako kashikaji nilisikia kalidedi kwenye zile vurugu za South Africa wakati vijana wa Kizulu wanawatimua wahamiaji haramu!
 
Dar tunduma tshs. 45,000, tunduma/nakonde to lusaka kwacha 250, lusaka to johburg/south africa kwacha 800.
KWACHA MOJA KWA SASA NI SAWA NA TSHS. 127-130. Utapiga mahesabu mwenyewe.

Utaamua kulala kwenye basi au lodge.

Pale lusaka stendi/Intercity lodge nzuri ni kuanzia kwacha 200-300.

NB:HII NJIA NAIJUA VIZURI KWA SABABU HUWA NASAFIRI MARA NYINGI SANA.

NILISHAWAHI KULETA HADI UZI HUMU.
Hii imekaa vizuri kumbe bajeti ya 1m ya bongo naweza kutalii kwa siku 7 Johburg na vichenji vikabaki.
 
Back
Top Bottom