SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,040
- 8,895
Pamoja na mizunguko ya hapo mjini kwa siku kumi ukiwa na 1.5m, unakwenda na kurudi, kula, kulala na chenji inabaki labda uwe mlevi na malaya ndio itaisha.Hii imekaa vizuri kumbe bajeti ya 1m ya bongo naweza kutalii kwa siku 7 Johburg na vichenji vikabaki.
Kuna lodge hotel za kawaida za rand 150 hadi rand 300. Hizo ndio za watu wa uchumi wa kati kama sisi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app