Gharama ya nauli Dar - Johanesburg kwa usafiri wa basi

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua nauli ya basi kutoka Dar to Johanesburg. Pia basi gani zuri?

Nahitaji msaada wenu.
 
Panda mpaka Lusaka then pale utapata mabus ya J'berg nyomi alafu pamba sana.
Kwa hapa ondoka na Falcon mpaka Lusaka(nilipanda kwa 150k)few yrs.Kisha pale kadake Skyline to J"berg ila nauli yake nimesahau ilikua Kwacha ngapi.Ila ni route ndefu sana mkuu so jipange,na kule vituo vya kuchimbachimba dawa mapolini hakuna na njia zao hazipiti mijini ni poli kwa poli.Kwa mfano mkitoka Nakonde tegemea kuchimba dawa kwenye ule mzani wa Mpika,then mkitoka hapo ni mpaka Kapilimposhi,baada ya hapo labda Kabwe lakini otherwise ni mpaka Lusaka.Zingatia usafi maana ata ukitema Big G hovyo unaweza dakwa maana jamaa ni wasafi sana.Kero ni kastend ka Lusaka yani kadooogo na moja ya barabara zao inapita ktkt ya stand.
 
Panda mpaka Lusaka then pale utapata mabus ya J'berg nyomi alafu pamba sana.
Kwa hapa ondoka na Falcon mpaka Lusaka(nilipanda kwa 150k)few yrs.Kisha pale kadake Skyline to J"berg ila nauli yake nimesahau ilikua Kwacha ngapi.Ila ni route ndefu sana mkuu so jipange,na kule vituo vya kuchimbachimva dawa mapolini hakuna na njia zao hazipiti mijini ni poli kwa poli.Kwa mfano mkitoka Nakonde tegemea kuchimba dawa kwenye ule mzani wa Mpika,then mkitoka hapo ni mpaka Kapilimposhi,baada ya hapo labda Kabwe lakini otherwise ni mpaka Lusaka.Zingatia usafi maana ata ukitema Big G hovyo unaweza dakwa maana jamaa ni wasafi sana.Kero ni kastend ka Lusaka yani kadooogo na moja ya barabara zao inapita ktkt ya stand.
nashukulu je bus ya moja kwa moja hakuna?
 
Hakuna bus ya moja kwa moja,Zaidi mara chache labda maroli haya ya mizigo nayo ni mara moja moja kwenda South moja kwa moja.

Ila kuna gari za moja kwa moja,Takwa zile Dar to Zimbabwe,Dar to Zambia,Dar - Kinshasha.

Zambia,Zimbabwe au Kinshasha ni rahisi kupata bus za kwenda South Africa.

Budget kwa nauli andaaa 450k nje ya gharama nyingine hadi S.A,uwe na Doc halali tu.
 
dah 450k si.bora kupnda fastjet mkuu maana dah
 
150k falcon hadi Lusaka bado unadhubutu kusema hujui tu kwamba uliibiwa?
 
Hakuna bus ya moja kwa moja,Zaidi mara chache labda maroli haya ya mizigo nayo ni mara moja moja kwenda South moja kwa moja.

Ila kuna gari za moja kwa moja,Takwa zile Dar to Zimbabwe,Dar to Zambia,Dar - Kinshasha.

Zambia,Zimbabwe au Kinshasha ni rahisi kupata bus za kwenda South Africa.

Budget kwa nauli andaaa 450k nje ya gharama nyingine hadi S.A,uwe na Doc halali tu.
Kama kitu hujui ni bora kukaa kimya kuliko kupotosha watu 450 yuko Cairo au Dar
 
Andaa kama 400,000 mpaka Johannesburg South Africa...
Chukua Falcon au Taqwa, nenda Straight mpaka Harare, ukishuka Harare utakuta Bus kibao zinakusubiri kwenda J'burg na miji mingine, ni unashuka kwenye Bus yako ulotoka nayo Bongo unapanda kwenye Bus nyingine..

Dar to Harare ni kama 250,000 in Maximum
Harare to J'burg ni kama 120,000 in Maximum

Kama tafadhari kuwa makini na vijana wa Kitanzania pale Boda Tunduma, wale wanaobadirisha pesa, wanawapiga wengi dairy...

Badirisha pesa yako kabla hujaondoka, uwe na Kwacha, Rand na USD...
 
kma kichwa kinavyo jieleza naomba kujua nauri ya bus dar to johanesburg na gari gani zuri

naitaji msaada wenu
Fast jet ni laki tatu na ishirini kulingana na siku pia njia raisi ni kupitia msumbiji dar tu mtwara nauli sh 20000 mtwara tu kirambo mpakani nauli 5000 kisha utagonga na kuvuka na pantoni 500 utapnda gari kutoka kilambo to msimbwa nauli sh miticash 200 ambayo sawa na kama 11000 msibwa to maputo miticash 2400 sawa na 126000 maputo to jobeck miticash 1000 sawa na 55000. Inachukua siku 5 hadi ufike jobeck lakini ukitumia ndege ikiwa utatoka Tz saa tano usiku na fast jet jobeck unafika saa nani na nusu usiku kwa huko tz ni saa tisa na nusu Nb time ya jobeck kwa majira ya Tz ni tofauti iko kubwa kulinganisha ufaham wa watanzania. Siwashahuri watu watu mie njia ya lusaka au boda ya malawi kwasababu nyingi
 
Panda mpaka Lusaka then pale utapata mabus ya J'berg nyomi alafu pamba sana.
Kwa hapa ondoka na Falcon mpaka Lusaka(nilipanda kwa 150k)few yrs.Kisha pale kadake Skyline to J"berg ila nauli yake nimesahau ilikua Kwacha ngapi.Ila ni route ndefu sana mkuu so jipange,na kule vituo vya kuchimbachimva dawa mapolini hakuna na njia zao hazipiti mijini ni poli kwa poli.Kwa mfano mkitoka Nakonde tegemea kuchimba dawa kwenye ule mzani wa Mpika,then mkitoka hapo ni mpaka Kapilimposhi,baada ya hapo labda Kabwe lakini otherwise ni mpaka Lusaka.Zingatia usafi maana ata ukitema Big G hovyo unaweza dakwa maana jamaa ni wasafi sana.Kero ni kastend ka Lusaka yani kadooogo na moja ya barabara zao inapita ktkt ya stand.
Wewe walikupiga ahaaa ahaaa nauli kutoka Dar-Harare Zimbabwe ni 140,000 na bus linapita Lusaka...we walikuuza ticket ya Lusaka kwa Nauli ya Harare...karibu sana mjini
 
dah 450k si.bora kupnda fastjet mkuu maana dah
mkuu labda uangalie utaratibu wa kupanda hayo mabasi au kama ni ndege angalia nyingine fastjet sasa hivi hawana safari ya bondeni nimekuwa nikijaribu mara kibao sana kuingia kwenye website yao hamna kitu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Andaa kama 400,000 mpaka Johannesburg South Africa...
Chukua Falcon au Taqwa, nenda Straight mpaka Harare, ukishuka Harare utakuta Bus kibao zinakusubiri kwenda J'burg na miji mingine, ni unashuka kwenye Bus yako ulotoka nayo Bongo unapanda kwenye Bus nyingine..

Dar to Harare ni kama 250,000 in Maximum
Harare to J'burg ni kama 120,000 in Maximum

Kama tafadhari kuwa makini na vijana wa Kitanzania pale Boda Tunduma, wale wanaobadirisha pesa, wanawapiga wengi dairy...

Badirisha pesa yako kabla hujaondoka, uwe na Kwacha, Rand na USD...
Taarifa yako sio sahihi hiyo ni nauli ya ndege
 
Fast jet ni laki tatu na ishirini kulingana na siku pia njia raisi ni kupitia msumbiji dar tu mtwara nauli sh 20000 mtwara tu kirambo mpakani nauli 5000 kisha utagonga na kuvuka na pantoni 500 utapnda gari kutoka kilambo to msimbwa nauli sh miticash 200 ambayo sawa na kama 11000 msibwa to maputo miticash 2400 sawa na 126000 maputo to jobeck miticash 1000 sawa na 55000. Inachukua siku 5 hadi ufike jobeck lakini ukitumia ndege ikiwa utatoka Tz saa tano usiku na fast jet jobeck unafika saa nani na nusu usiku kwa huko tz ni saa tisa na nusu Nb time ya jobeck kwa majira ya Tz ni tofauti iko kubwa kulinganisha ufaham wa watanzania. Siwashahuri watu watu mie njia ya lusaka au boda ya malawi kwasababu nyingi
Hiyo njia ya Msumbiji ni njia ya watu wa zamani waliokuwa wakipita kule kwa kukosa Passport au Viza.

Safari ya siku 5 huku ukibadilisha magari kama unakwenda Mbinguni ya nini Hiyo kama una mizigo si utaicha njiani?!

Njia nzuri na ya kisasa Unapanda Zako Falcon kutoka Dar mpaka Harare nauli haizidi 150,000 ni safari ya siku mbili tu.

Ukifika Harare unachukua bus pale Harare to Joberg nauli haizidi Rand 300 ambayo kwa pesa ya Kibongo ni chini ya elfu 50.

Ukitoka Harare Jioni Kesho yake asubuhi upo Zako Park Station Joberg unamsubiri muenyeji yako....Kwa mtu mgeni ambae hana uwezo wa kupanda ndege hii ndio njia nyepesi isiyo na gharama
 
Back
Top Bottom