Gharama ya miwani ya kusomea

Gharama ya miwani ya kusomea

8afd28ac4058349352811dd484a07a46.jpg
hiyo Miwani in 0.5 size, being take ni 30 elfu ila miwani hiyo hiyo kuna fremu mpaka za elfu 70. Kutokana na ukata niliamua kuchukua ya sh 30 elfu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu
Liko shirika moja pale Kisutu sokoni, ukienda na cheti cha macho unapewa miwani ya bure kabisa.
Hata kama utaandikiwa ya kusomea na ya kutembelea unapata zote mbili bure.
Ukiulizia pale Kisutu watakuonesha ofisi zao zilipo, tatizo huwa wanahamahama ofisi lakini wapo maeneo hayo hayo.
Jaribu kwenda kuulizia, mimi nilishapeza miwani za kitembelea mara mbili bure kabisa.
Uwahi tu asubuhi na unajiandikisha, saa tatu ofisi inafungulia na kuanza kugawa miwani hizo. Kwa siku moja wanatoa miwani mia mbili hadi tatu kulingana na watu walioenda.
Hao jamaa wana miwani myingi mno.

Nenda kaulizie sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom