safi2
Member
- Aug 18, 2023
- 15
- 25
Naishi Dar kwa sasa Dodoma.asante kiongozi, upo dar au mkoa?
Naishi Dar kwa sasa Dodoma.asante kiongozi, upo dar au mkoa?
Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani?Nikujibu kwa kifupi:
Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
Sh 10,000, bei inaweza kubadika kidogo.Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani?