Gharama ya frame Kariakoo

joyness

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
235
120
habari za jioni,

ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri,

wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
 
Mmmmm sasa ziko juu ujio wa Wachina balaa kuna watu wamekibia kuacha frame kubwa na kwenda kujibana uchohoroni
 
Inategemea na eneo maana sasa hv zimeachwa nyingi.kutokana na bishara kua ngumu kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom