Gharama ya fingerprint scanner

Gharama ya fingerprint scanner

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,021
Reaction score
16,590
Nani anajui bei ya hiki kifaa cha kusoma fingerprint na mahali pa kukipata kwa Mwanza

Nahitaji kinachosoma kwenye simu za android maana kitatumika kufanya usajili wa simcard
 
Nani anajui bei ya hiki kifaa cha kusoma fingerprint na mahali pa kukipata kwa Mwanza
Zipo aina nyingi,kuna mdau ilikua mwaka jana nilimuuliza akanambia tsh 50,000 aina ya Mantra ina rangi nyeusi.
 
Back
Top Bottom