Ambrose Koller
Senior Member
- Oct 13, 2024
- 102
- 84
Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
Mifuko 30×60 =1800 je hizo tofali si zinakamilisha nyumba kabisa? Hesabu yako sio relevantuwe na mifuko 30 kwa uzoef wangu, hakikisha mkanda unashiba cement hapo ndo nyumba ilipo
Si kweliMifuko 20 - 30.
Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
Mie niliona mtu alikua na mifuko 22, sasa sijui hapo.Si kweli
Hpana hapo labda kuna factor nyingine ikiwemo kulaza tofali ngapi na ukubwa wa vyumba na sebule au muinuko. Lakini mifuko ya saruji inaletwa kulingana na wingi wa tofali. Mfuko mmoja tofali za kulaza 65. So mifuko 10 kwa tofali 650. Msingi wa hiki anacholisema hauwez kufika tofali 800 landa kuwe na factor nyingine. Mana msngi wa chumba kimoja ni around 220-260 kutegemea na ukubwa na urefu wa msingiMie niliona mtu alikua na mifuko 22, sasa sijui hapo.
Oooh kumbe bas sawa.Hpana hapo labda kuna factor nyingine ikiwemo kulaza tofali ngapi na ukubwa wa vyumba na sebule au muinuko. Lakini mifuko ya saruji inaletwa kulingana na wingi wa tofali. Mfuko mmoja tofali za kulaza 65. So mifuko 10 kwa tofali 650. Msingi wa hiki anacholisema hauwez kufika tofali 800 landa kuwe na factor nyingine. Mana msngi wa chumba kimoja ni around 220-260 kutegemea na ukubwa na urefu wa msingi
Yan hapo asipate tabu mana fundi wake tofali alizomwambia ajue tu mfuko mmoja wa cement ni toroli 4, sawa na chepe 70 sawa zenye uwezo wa kujenga tofali 65. Hivyo atumie formula hiiOooh kumbe bas sawa.