Gharama kujisajili PC form six

Lio tz

Member
Apr 16, 2018
71
26
Wapendwa naomba kuulizia gharama za kujisajili PC kidato cha sita ada za vituo na practical kwa masomo ya sayansi jumla inaweza kuwa kiasi gani naombeni mchanganuo na je unaweza kulipa kianzio kwanza kwenye kituo
 
Inategemea na mahali mkuu, kituo, history ya kituo katika kufaulisha, mazingira, kama unataka ya boarding nk

Ungesema na mahali ingekuwa poa.

Kuanzia 300,000 +
 
Inategemea na mahali mkuu, kituo, history ya kituo katika kufaulisha, mazingira, kama unataka ya boarding nk

Ungesema na mahali ingekuwa poa.

Kuanzia 300,000 +
Nipo DSM sitaki boarding nataka niende siku ya mtihani tu na pesa nlio Nayo NI elf 50 kwa ajili ya ada ya kituo je itatosha?
 
Nipo DSM sitaki boarding nataka niende siku ya mtihani tu na pesa nlio Nayo NI elf 50 kwa ajili ya ada ya kituo je itatosha?
Nenda mwenge British school pale wanagarama poa ila sio kwa elfu 50
 
Nashukuru sana ila hiki kituo NI kipya kwa form 6? maana nimechek matokeo ya mwaka Jana kituo hakipo
Mwenge TRA ukifika kuna vituo vingi so it's your option anzia mapambano center IPO karibu na hospital ya mama ngoma kisha pita barabara la africasana utaviona vituo vingine tena sio vya janja janja
 
Back
Top Bottom