ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Jamani habari na poleni kwa majukumu.
Nime download application kwenye cm angu inaitwa DSTV online sasa naomba kuliza juu ya kutumia hii app maswali yangu yapo.
Je naweza kuangalia mpira live kwenye cm yangu kwa kutumia hii app? Je malipo ake inakuwaje au MB ndo zinatumikaaa? Na walinitaka ni download connection manager nimedownload je inatumikaje msaada tafadhari