Ghana's Cardinal Peter Turkson favourite to replace him

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
300..1.1265263.jpg

Cardinal Peter Appiah-Turkson

With the sudden announcement of Pope Benedict's resignation on Monday, Bookmakers Paddy Power have drawn up a list of contenders to replace Benedict and one of the the favourite to replace the Pope is the Ghanaian Cardinal, Peter Appiah Turkson.

Cardinal Peter Turkson likely to replace Pope Benedict
 
I think Cardinal Turkson Appiah deserve the title may God help him to reach there.
 
Watanzania bwana tunajua kutabiri uongo, mwaka 2005 walitabiri cardinal wa Nigeria sasa mwaja na ngonjera mpya. Baba mtakatifu hapigiwi kura au campaign, lazima awe na imani na cardinals wanasali na kufunga ndipo apatikane, haziotwi ndoto kama kikombe cha babu hapa. Tunataka baba mtakatifu mwenye imani ya kweli na mwenye msimamo ambaye ataweza kulitetea kanisa katoliki popote duniani.
 
mkuu Mupirocin akina sheikh Yahaya wengi sana bongo siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
yaani hapa kuna kazi pope hapigiwi kura wala campeing ila kuna utaratibu wa kumpata> jopo la makardinal hupitisha jina kati ya yaliyopendekezwa alafu baadaye wanaingia katika chumba maalum cha kuwashia ubani ambao unatakiwa utoke moshi mweupe kama theluji
 
Watanzania bwana tunajua kutabiri uongo, mwaka 2005 walitabiri cardinal wa Nigeria sasa mwaja na ngonjera mpya. Baba mtakatifu hapigiwi kura au campaign, lazima awe na imani na cardinals wanasali na kufunga ndipo apatikane, haziotwi ndoto kama kikombe cha babu hapa. Tunataka baba mtakatifu mwenye imani ya kweli na mwenye msimamo ambaye ataweza kulitetea kanisa katoliki popote duniani.
hakuna cha kufunga na kusali wala nini ni vigumu sana kumchagua mtu mweusi kuwa pope mwaka 2005 arinze angechaguliwa sema tu ni mweusi
 
Mostly likely atachukuliwa Kadinali toka Latin America, Brazil au Argentina.
 
Jopo la makardnal wamewasili katika viwanja vya st,peter basilica, kwa mchakato wa kumpata kiongozi wa kanisa!
 
300..1.1265263.jpg

Cardinal Peter Appiah-Turkson

With the sudden announcement of Pope Benedict's resignation on Monday, Bookmakers Paddy Power have drawn up a list of contenders to replace Benedict and one of the the favourite to replace the Pope is the Ghanaian Cardinal, Peter Appiah Turkson.

Cardinal Peter Turkson likely to replace Pope Benedict

Hata siku moja N.iga hawezi kuwa Papa, labda awe Ni.ga wa Marekani lkn sio kutoka Dunia ya tatu, sio karne Hii!
 
Kila la heri cardinals wakatolica!! Tunasubiri moshi mweupe.
 
Wakuu mi kitu kikubwa ninachojiuliza ni je PAPA mpya atavunja ule mwiko wa mda mrefu wa kuludia majina na kujipa jina jipya, kama aliye ondoka alivyovunja mazoea ya miaka 600 iliyopita kujiuzuru
 
Hata siku moja N.iga hawezi kuwa Papa, labda awe Ni.ga wa Marekani lkn sio kutoka Dunia ya tatu, sio karne Hii!

Kijakazi ikitokea mswahili kakalia hicho kitebe...................si utashangaa na maajabu ya Kristu Mungu wangu?
 
A blackman? To lead the Romanhouse?
Just not yet!
 
Back
Top Bottom