Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Hizi breakthrough zimekuwa mob,,, kibongo bongo tungeweza ita kiki kama za pikipiki. Watoe dawa kimya kimya hata WHO wakizengua. Muhimu formula iwekwe wazi kuhusu hio miti aliotumia kama mlonge, muarubaini na mchunga watu wajiongeze😀😀😀
 
Kumbuka ukienda UK na US hawa watu ndo wanafanya research sana ila hawatambuliki. Ukienda pale tropical disease research london wengi wanatoka huko ila wa Ethiopia wapo na Eretria. Nilikuta Mtanzania mmoja tu zamani that was 1994.

I believe Ghana can do it. Wale ni watu wanachakarika sisi siasa zinawafanya watu wawe butu. Tunashindwa nini kutuma wana sayansi sasa hizi ili wajiunge na wenzao ili wafanye experiment. Sky mwanangu ni researcher angependa kwenda Tz ila wakati yupo BSc nilienda kumuombe nafasi ili afanye research bongo akakataliwa, mwanangu wa kike alikataliwa kufanya research Milembe hospital eti niende kwa waziri.

Walienda wakafanya projects zao mmoja Kenya mwingine Myanmar na wamepata kazi nzuri. Naishukuru nchi yangu kwa kutupumbaza. Mnawapaisha wenzenu.
Hongera sana niah umezaa, umelea umesomesha na sasa unaona matunda. Dada yangu aliniambia wakipata ajira na kujitegemea ni faraja kubwa sana kwa mzazi.

Fukiria kama mzazi unaambiwa mtoto wako yuko Segerea alikatwa katika tukio la ujambazi.
 
Hongera sana niah umezaa, umelea umesomesha na sasa unaona matunda. Dada yangu aliniambia wakipata ajira na kujitegemea ni faraja kubwa sana kwa mzazi.

Fukiria kama mzazi unaambiwa mtoto wako yuko Segerea alikatwa katika tukio la ujambazi.
We acha tu!!!
 
Hiyo si kweli. Tusisingizie watu. Ni kwamba hakuna taasisi ya nje wala mtu aliyepiga marufuku hizo Dawa zote, isipokuwa wagonjwa waliacha kwenda huko zilikogunduliwa baada ya waliozitumia kuendelea kupukutika. Hakuna taasisi ya nje iliyompiga marufuku babu wa loliondo ila ni wagonjwa waliacha kwenda. Issue ya maralia ni kwamba ilikuwepo kwenye nchi zote za joto, ila kwa lifestyle yetu sisi weusi jinsi tunavyoweka mazingira yetu imetushinda kuiondoa tusilaumu mtu. Nchi nyingi za joto nje ya africa zimeufutilia mbali ugonjwa wa maralia.

Dawa ya UKIMWI/AIDS ipo , ila propaganda zinazoenezwa ndio inasababisha watu wasijue nani mkweli na nani sio mkweli, pili izingatiwe dawa yoyote huwa haitumiwi siku moja na kikombe kimoja tu na mtu akapona (kama kikombe cha babu loliondo), inahitaji muda na kufuata masharti ya vyakula.
sitaongea sana naambatanisha video, ila wengi wanaogopa kurekodiwa na kuonyeshwa hivi:-
tupate ufanuzi hapa kisha angalia video
UKIMWI inamaanisha -Upungufu wa Kinga Mwilini (VVU)
kwa kiingereza : AIDS is Acquired Immunodeficiency syndrome a Disease. in which there is a severe loss of the body's cellular immunity, greatly lowering the resistance to infection and malignancy.
 
TIBA HALISI YA UKIMWI /VVU AU AIDS NDIO HII KWENYE VIDEO.
JAMBO LA MSINGI ZINGATIA MASHARTI YA CHAKULA,
NA HUWA INACHUKUA MIEZI 6-8.
 

Attachments

  • Thanks
Reactions: Ctr
Hizi dawa za kutibu maradhi yasababishwayo na AIDS zinagundulika kila wakati karibu kila nchi ila wazungu wakishasikia wanatuma watu wao kwa mgongo wa W.H.O na kuua mfumo mzima wa ugunduzi wakisema kuwa haukidhi vigezo/standards za shirika hilo la afya ulimwenguni.

Waliutengeneza UKIMWI wao eti ili upunguze kasi ya ongezeko la watu shambani kwao (AFRIKA) ingawa ulivuka mipaka ya bara hili pia.

Tanzania ilishawahi kugundua mpaka kinga ila yakaisha kimya kimya (nakumbuka baadhi ya askari polisi walipewa chanjo.........)

Israel mwaka huu pia waligundua ila nadhani hizo dawa wanazogundua wazungu zitawatibu wao tu na watazifanya ghali sana kwa anayezihitaji hasa kutoka Africa, Asia na some southern American countries.
They are making our world so hard everyday.

Ila tusubiri tuone....
Ni kweli...yaani hizi habari za dawa ya UKIMWI ukizifuatilia utapasuka kichwa...wanacheza na mindset zetu jhakuna lolote......bila UKIMWI wazungu wengi watakufa njaa
 
Ni kweli...yaani hizi habari za dawa ya UKIMWI ukizifuatilia utapasuka kichwa...wanacheza na mindset zetu jhakuna lolote......bila UKIMWI wazungu wengi watakufa njaa
mfano wazungu hawa wakishirikiana na waafrika walikuwa wanatibu ukimwi na waliwekewa sana mizengwe, na kiongozi mmoja alithibitisha. na nchi husika ilitaka kuwekewa vikwazo, ikasalimu amri, ikazuia isitangazwe hiyo habari
 
Ngoja tutege masikio kwa muda ili kujua ukweli wa hili na kama litakuwa ni kweli basi itakuwa ni kwa faida kubwa sana kwa nchi ya Ghana na mamilioni ya wagonjwa duniani kote.

Nitakuwa wa mwisho kuamini hii kitu maana ni mara nyingi waafrica wamekuwa wakiitangazia dunia kugundua dawa ya ukimwi.1991 reserchers wa kikenya walidai kugundua dawa ya ukimwi KEMRON huku wakipata support ya Rais wao Moi aliyedai wagonjwa 50 wamepona . Walipiga sana pesa za watu ikaishia hewani.
Vile vile Mcongo na Mu Egypt walitangaza kugundua dawa wakaipa jina la madikteta wao (Mobutu-Mubarak 1) kifupi MM1 wakajipigia pesa lakini hakuna kitu.
2007 rais wa Gambia nae akadai kugundua dawa.
Mwaka 2002 tena mkuu wa majeshi wa nigeria akaitangazia dunia kwamba wanajeshi wake 30 wamepona ukimwi baada ya kutumia dawa iliyogunduliwa na dr mmoja aliyeitwa Jeremiah Abalaka.Jamaa wakapiga pesa ndefu kabla ya serikali ya nigeria kuipigika marufuku.
Nasema nitakuwa wa mwisho kuamini maana waafrika katika kupiga hela huwa haangalii ..kwake dili ni dili .
 
Tupe reference sababu huwezi gundua kitu kisiingie kwenye board of research. Mbona waligundua kinga ya malaria Kilosa na wameijaribu ingawa mpaka sasa hatujui kulikoni?
Tuache mambo ya siasa za kiafrika ila uje na formula unaipublish watu wataidiscuss. Kwani wanasayansi wangapi duniani walipingwa kwa miaka mingi ila wakakubaliwa baada ya miongo? sayansi siyo Penguin books ambayo mtu anasoma na kukubali.
Mkuu ebu tudokeze kidogo hio ya kilosa ata ikiwezekana anzisha uzi ili kutunza kumbukumbu fresh
 
Mimi hizi habari za wazungu kututaka kutuua wa Africa...naonaga wanaozisambaza km punguani vileee
 
Ni kweli...yaani hizi habari za dawa ya UKIMWI ukizifuatilia utapasuka kichwa...wanacheza na mindset zetu jhakuna lolote......bila UKIMWI wazungu wengi watakufa njaa
Mkuu hebu acha ujinga......kwamba wazungu watakufa kww njaa?
 
Back
Top Bottom