nafikiri tuwe serious sasa..
nilishasema tuset tarehe, tukutane mnazi mmoja na si kuandamana.. tukufika pale kilamtu anyanyue bendera nyeupe na mabango yetu
Watu weshaanza kuandamana. Kukimbia kutoka majumbani mwao na kujaa mitaani ni kuandamana. Viongozi lazima wawajibike. Serikali imekuwa haifanyi kazi ndio maana mabomu hayo yamelipuka, si mara moja tu, bali mara ya pili sasa. Hayo maandamano unayoyaita ya kijinga yanakuwa ya kijinga kwako tu na sio kwa watu ambao shida zinawakabili kila siku.Acha kupotosha watu.
Kaandamane mwenyewe, hatuna muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi.
Matatizo hayaondoki kwa kuandamana. Wacha serikali ifanye kazi katika kipindi hiki kigumu.
Siyo kuiongezea mzigo wa maandamano ya kijinga.
Inaelekea wewe huna akili sawasawa!! Makamba design??? Uzemembe wa jeshi na serikali unasema CDM!!
Kishogo hana akili sawasawa usibishane naye! alikuwa milembe sasa katoroka.Watu weshaanza kuandamana. Kukimbia kutoka majumbani mwao na kujaa mitaani ni kuandamana. Viongozi lazima wawajibike. Serikali imekuwa haifanyi kazi ndio maana mabomu hayo yamelipuka, si mara moja tu, bali mara ya pili sasa. Hayo maandamano unayoyaita ya kijinga yanakuwa ya kijinga kwako tu na sio kwa watu ambao shida zinawakabili kila siku.
jamani tunapoandika threads ni lazima kuzingatia uandishi pia kuwa na uhakika, sio kweli hiyo idadi uliyotaja...
watchout!!!!
Nyumba iliyopo Ukonga Mzambarauni iliyoharibiwa na milipuko ya mabomu Gongo La Mboto Dsm(picha hisani ya Bashir Nkoromo blog)
Nyumba eneo la Pugu Kajiungeni ikiwa imetobolewa na bomu likininginia(picha hisani ya fullshangwe blog)Mkazi wa Majohe anayekimbia nyumba akielekezwa njia salama na askari wa JWTZ(picha hisani ya Bashir Nkoromo Blog)
Msafara wa Mh. Rais J.K Kikwete ukitoka maeneo ya milipuko ya mabomu Gongo la Mboto Dsm( picha hisani ya Fullshangwe blog)
Video hisani ya abbymrisho wa youtube

Ivi ulinusurika?jamani, kuna kipande cha bomu kimeingia ndani ya uzio wangu, nimechanganyikiwa hata kukimbia nimeshindwa maana ntaibiwa kila kitu