Ghafla unampata aliyesahihi kwako

Ghafla unampata aliyesahihi kwako

Ghafla unampata aliyesahihi kwako, mara ghafla afya yako nayo inaimarika, na hapo milango iliyokua imefungwa itaanza kufunguliwa, mahusiano mapya na connections zinafunguka, Malengo nayo utaanza kuyafikia na MAOMBI yatajibiwaa[emoji120][emoji120][emoji2969][emoji2969][emoji1666]

Mungu akubariki wewe unaesoma hapa umpate yule aliyesahihi kwako na kama uliyenae unamuona ndio sahihi Mungu akubariki udumu nae, Na muishi kama katika maongezi yenu kama Best Friends na mkubaliane jambo kama Mume na mke na hatimae kulindana kama Kaka na Dada.

@middotzView attachment 2451905
[emoji1635]to him.
He is the one I prayed for[emoji3590]
And to God be the glory
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂
Unachovuta uache!!!
siku moja uje nikupigishe pafu moja tu 🙂🙂🙂 huto tamani kuacha
Screenshot_20221220_155612_com.android.gallery3d_edit_394759839169451.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom