Utazeeka tu subiria usijali😂😂😂😂😂
Shindwaaaa!!
Na uzee huu mtoto😳😳😳😳
😂😂😂Tunachokijua ni kwamba, vyote ulivyotaja vinaweza kutokea ghafla, ila la kumpatia mtu sahihi ghafla, broh utakuja kulia ghafla.
Kwahiyo unaniona mtoto mwenzioe eeh!!!Utazeeka tu subiria usijali
Wewe ni mtoto wa juzi tu sema ulianza bangi mapema🤣🤣Kwahiyo unaniona mtoto mwenzioe eeh!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa ghafla aje nipo morogoro kilakala
Hujapata wa ghafla[emoji28]Kwendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umekuja wa ubani🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenichekesha sana Mkuu..
😂😂😂😂😂😂Wewe ni mtoto wa juzi tu sema ulianza bangi mapema🤣🤣
Mimi sihitaji wa ghafla[emoji23]Bora umekuja wa ubani[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Hujapata wa ghafla[emoji28]
Ita hata kakakuona lkn rekodi inasoma umekula jani kwa sanaa hadi ukakomaa kumbe katoto tu kama id yako ile🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Kenge wa manyoya wewe!!
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sihitaji wa ghafla[emoji23]
Ningekushangaa kuwa unataka wangapi🤣Mimi sihitaji wa ghafla[emoji23]
Wa ghala ni kimboka hao nawatakia nini?🤣🤣🤣🤣🤣
Wa ghafla wapo kina Glenn na National Anthem lazima ulie na kusaga meno.
Kwakweli bora pesa za ghafla tu.
Mjani nimekula kidogo tu. Na mie sio mtoto mwenzio.Ita hata kakakuona lkn rekodi inasoma umekula jani kwa sanaa hadi ukakomaa kumbe katoto tu kama id yako ile🤣🤣🤣
Ndio wapi huko?Wa ghala ni kimboka hao nawatakia nini?