Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 280
- Thread starter
- #21
Amini kwamba Ghafla kakaGhafla!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amini kwamba Ghafla kakaGhafla!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaUkimpata sahihi utaenjoy haijalishi ni muda gani kuomba Mungu tu.
It's very true, hata scientific facts zinaprove.JE WAJUA? PSYCHOLOGY INASEMA:
Watu ambao wapo Single wanauwezekano mkubwa kufanikiwa katika maisha yao kuliko ambao wapo katika mahusiano.
Hii imekaaje, Psychology imetupiga Fix au ni kweli?
#Single+success
@middotz_[emoji1600]View attachment 2452411
Thubutuuuu!! Na madhambi yote hayo!!Uzuri wake litatukuta lolote zuri aminaa🤣🤣
Na pesa.Una hamu wewe😂😂😂
Unahamu pia na pesa wataka sioNa pesa.
ZAmbi which? How? When?Thubutuuuu!! Na madhambi yote hayo!!
Tumbafu!! Nina hamu na pesa tu.Unahamu pia na pesa wataka sio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumbafu!! Nina hamu na pesa tu.