Ghafla unampata aliyesahihi kwako

Ghafla unampata aliyesahihi kwako

Unaambiwa Haijalishi mpo UMBALI kiasi gani pindi MIZIZI ya MAHUSIANO yenu ikiwa IMARA vya kutosha. Hivyo tambua Hisia za mapenzi hazipo kama Bluetooth kuwa lazima muwe karibu ndio mambo yaende, Ila ni kama Internet mnaweza kuwasiliana haijalishi mko wapi muhimu kuwe na Network.

katika umbali Hisia ni mfano wa Network ukiwa na hisia na mwenzako mawasiliano kati yenu yataimarika.Kama hisia zako huzielewi elewi kwa mwenza wako basi bando likakaribia kukata.

#ManMiddo

#RootsOfRelationship
1671733794902.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom