Geuza muziki wako kuwa biashara

Geuza muziki wako kuwa biashara

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
392
Reaction score
529
MI NADILI NA WANAMUZIKI
●Nafanya verification ya youtube (official artist channell)
●naweka nyimbo kwenye platform mbali mbali
[emoji830]︎boomplay (account yako inakua verified)
[emoji830]︎audiomack (account yako inakua verified)
[emoji830]︎spotify (account yako inakua verified)
[emoji830]︎deezer
[emoji830]︎youtube music
[emoji830]︎tiktok
[emoji830]︎facebook
[emoji830]︎instagram
[emoji830]︎itunes
□Nakuendelea

Faida yakufanya hivii
■Youtube inakutambua kua wewe ni msanii na kituo chako nimaalumu kwa ajili ya wasanii
■Utaingiza pesa kupitia views utao wapata katika platform nilizo taja
■unakua na hakimiliki ya miziki yako
■Utaingiza kipato kupitia mziki wako

Maswali yanayoulizwa sana

Je nilazima niwe na subscriber 1000 ili niweze kulipwa au kuniunga

Jibu: Hapana hata kituo chako kikiwa na subscriber mmoja kina weza kuingizwa katika mfumo huu

Je nitapata faida gani nyimbo zangu kuwa katika hizo platform

Jibu: utawezeshwa kulipwa kutokana nawatu wanavyo sikiliza kila views mmoja anasamani kwako usiache kuwapata bure bila kukupa kitu

HITIMISHO
KARIBU MWANAMZIKI SASA NI MUDA WA KUPIGA PESA KUPITIA KIPAJE CHAKO GHARAMA NI NAFUU SANA
View attachment 2330531View attachment 2330532View attachment 2330533View attachment 2330534
Screenshot_20220602-152438_Spotify.jpg
 
Back
Top Bottom