slowpancha
Senior Member
- Jul 27, 2014
- 184
- 102
Geti la ushuru kiluvya nalo ni jipu, pale mfanyakazi anapokataa kupokea pesa unayolipa na kutaka rushwa eti kwa kuwa uliwahi pita siku zilizopita Bila kulipa. Kwa nini asichukue hatua stahiki? Mkurugenzi limulike geti Hili hasa hii shifti ya kuamkia leo tar 29,na ushahidi wa picha ya video ninao