AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,653
- 4,758
Mimi nilipitaga pale...nikaona kuna jamaa kasimama pale kwenye kiround about ana kimachine gun...nikaona...ah ah...kuna vita hapa...hata sikutaka kuangalia kama kuna bango la maelekezo...maana nlitaka kukosea njia kuingia ikulu...maana kumekaa kaa kama barabara tu ya kawaida ukitoa geti...Mimi nikipita pale hata kushangaa shangaa sana hua naogopa...hii nchi watu walivyo wababe unaweza kupewa kesi ya uhaini kirahisi rahisi.
Yaani nikipita pale mbele ya geti naangalia mara moja tu sigeuki tena tusije halibiana maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
DsmicSound=DSM + SoundNaweza kupata tafsiri ya maneno yaliyomo kwenye avatar yako!?
Panatisha pale aiseehMimi nilipitaga pale...nikaona kuna jamaa kasimama pale kwenye kiround about ana kimachine gun...nikaona...ah ah...kuna vita hapa...hata sikutaka kuangalia kama kuna bango la maelekezo...maana nlitaka kukosea njia kuingia ikulu...maana kumekaa kaa kama barabara tu ya kawaida ukitoa geti...
Maana ziko mushabaha na ofisi ya wizara ya elimu ile sijui...
Nina shida nyingi za kumweleza mkuu...si geti liko wazi twaweza kwenda kupeleka shida zetu...mkuu kila ofisi ya umma inatoa huduma fulani kwa umma, huwezi tu kwenda kutoa 'hai', sasa wewe unataka huduma ipi hapo ofisini kwa mtumishi wa umma namba moja?
Wakarimu eeeh?Ngoja akirudi ukampe ‘hai’ walinzi wa pale wakarimu sana ukifika eleza shida yako kama inasaidika utaruhusiwa kama sivyo watakuambia namna nyingine ya kutatua shida yako
Sijui kwanini wamepaweka hivyo...
Labda waliosafiri nchi za wenzetu watupe experience ikulu nyingine zikoje?Sijui kwanini wamepaweka hivyo...
Asante, lakini umenipa tafsiri ya JF username yako. Mimi ninahitaji tafsiri ya maneno meupe yenye background nyeusi kwenye hiyo picha iliyo jirani na Username yako.DsmicSound=DSM + Sound
Pale pale ikulu...?Nishawahi kuona mtanzania akirukishwa kichura chura nikasema huyu kavamia kambi ya jeshi
White House raia wanaruhusiwa kusogea hadi kwenye uzio na kuna wakati wanafanya tour baada ya kupata security clearance.Labda waliosafiri nchi za wenzetu watupe experience ikulu nyingine zikoje?
Labda ndio code ya ikulu dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu zingine shughuli zingine zinaendelea mpk kupga picha selfie ikulu no problem...why here?Labda waliosafiri nchi za wenzetu watupe experience ikulu nyingine zikoje?
Labda ndio code ya ikulu dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda na bongo tunaruhusiwa lakini kwa instinct zaku siwezi jaribu kusogelea ule ukuta wasijenifanya kitu kibaya jamaa waleWhite House raia wanaruhusiwa kusogea hadi kwenye uzio na kuna wakati wanafanya tour baada ya kupata security clearance.
Muhammad - Mjumbe wa Allah(Mola Muumba na Mkuu kabisa)Asante, lakini umenipa tafsiri ya JF username yako. Mimi ninahitaji tafsiri ya maneno meupe yenye background nyeusi kwenye hiyo picha iliyo jirani na Username yako.